Mnamuona Jose Luis Miquisson

Ndio timu aliyotoka huyo boya mnamuita Dkt Aucho
Tatizo la nchi hii watu wanadhani ni lazima uwe Simba au Yanga. kwa taarifa yako wakati nakuwa nilikuwa naipenda Simba sana tu na kwa sababu ya malezi nimekuwa nasikiliza radio kabla ya TV lakini siku hizi sina habari na team hizi mbili mimi ni Liverpool. kurudi kwenye topic kaongelewa mchezaji wa Mozambique sio Simba shida iko wapi.
 
Kwani bado ni mchezaji wenu?nyie pambaneni na hali yenu.....hadi leo koche wenu hajapata 1st eleven mmebakia kununua game na waamuzi
 
Makolo mnaujinga huyo ni mchezaji wa Al ahly mtakuja mgongwe nyuma na shobo zenu za kikolo...M'meona arsenal wanamshobokea Aubameyang? au Hamjifunzi kwa Yanga kwa tuisila? acheni uzwazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…