Ilikuwa ni sawa na kumchanganya profesa na watoto wa chekecheaLouis ni mchezaji hatari , ilikuwa aibu utopolo kumuhusisha kuhamia utopoloni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa ni sawa na kumchanganya profesa na watoto wa chekecheaLouis ni mchezaji hatari , ilikuwa aibu utopolo kumuhusisha kuhamia utopoloni.
Tatizo la nchi hii watu wanadhani ni lazima uwe Simba au Yanga. kwa taarifa yako wakati nakuwa nilikuwa naipenda Simba sana tu na kwa sababu ya malezi nimekuwa nasikiliza radio kabla ya TV lakini siku hizi sina habari na team hizi mbili mimi ni Liverpool. kurudi kwenye topic kaongelewa mchezaji wa Mozambique sio Simba shida iko wapi.Ndio timu aliyotoka huyo boya mnamuita Dkt Aucho
Kwani bado ni mchezaji wenu?nyie pambaneni na hali yenu.....hadi leo koche wenu hajapata 1st eleven mmebakia kununua game na waamuziMechi inaendelea mda huu lakn jamaa ashatia kamba mbili na kuipatia timu yake uongoz wa bao 2
Utopolo hamkawii kusema jamaa ni flopp
Mtibwa tunawasubiri kwa hamu Sana najua sare yoyote hapo dimbwin hapatakalika
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Rivers United Ni timu ya wapi tena.Mkuu Young Africans Hii Hata Utupeleke Kiwanja Kinachowaka Moto Bado Mtu Atapigwa Vile Vile.
Mwaka Huu Hakuna Timu Itakayosalia Ni Dose Takatifu Kwenda Mbele.
Ilikuwa Mwaka Gani Na Mwezi Gani?Rivers United Ni timu ya wapi tena.
Tuma salamu kwa watu watatu [emoji441]Mtibwa sugar tupo.