Mnamuona Jose Luis Miquisson

Mnamuona Jose Luis Miquisson

Ndio timu aliyotoka huyo boya mnamuita Dkt Aucho
Tatizo la nchi hii watu wanadhani ni lazima uwe Simba au Yanga. kwa taarifa yako wakati nakuwa nilikuwa naipenda Simba sana tu na kwa sababu ya malezi nimekuwa nasikiliza radio kabla ya TV lakini siku hizi sina habari na team hizi mbili mimi ni Liverpool. kurudi kwenye topic kaongelewa mchezaji wa Mozambique sio Simba shida iko wapi.
 
Mechi inaendelea mda huu lakn jamaa ashatia kamba mbili na kuipatia timu yake uongoz wa bao 2

Utopolo hamkawii kusema jamaa ni flopp

Mtibwa tunawasubiri kwa hamu Sana najua sare yoyote hapo dimbwin hapatakalika

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwani bado ni mchezaji wenu?nyie pambaneni na hali yenu.....hadi leo koche wenu hajapata 1st eleven mmebakia kununua game na waamuzi
 
Makolo mnaujinga huyo ni mchezaji wa Al ahly mtakuja mgongwe nyuma na shobo zenu za kikolo...M'meona arsenal wanamshobokea Aubameyang? au Hamjifunzi kwa Yanga kwa tuisila? acheni uzwazwa
 
Back
Top Bottom