Babuu blessed
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 1,362
- 490
Wewe kama hutaki mtu wako abongeke fanya nae mazoezi, wote kuleni kiafya zaidi. Sio unamlalamikia mwenzako wakati mwenyewe una kitambi cha kubeba na wilbaro.
kitambi hadi kufunga kamba za viatu awezi
Hahahaha lol sikua hata na mpango wa kucheka hivi leo mwe! ila kiukweli uzazi unasababishia wanawake wengi vitambi mwingine hata afanye mazoezi vipi.
Ila ukijitahidi mazoezi na diet kidogo kitambi kinapungua maana wengine wamezidi wajameni mtu anakua na kitambi utadhani amevishwa tairi la gari eneo la tumboni?
kweli shosti huu mvuto unaonipa jeuri hapa mjini usiishe? Nitakuwa sipigiwi hata psiiiiiiiii tena loh
Hawa nao wanatuchanganya sasa, tukikondeana oooooooh mwanamke huna shukurani, ukinenepa pia mashaka. Wengine wanaenda gym kutwa mara tatu lakini bado vipipa kwa kwenda mbele. Hayo ni majaaliwa tu.
sawa bongeUnene huja tu kwa kuridhika wakati mwingine.
Ukitaka akonde , mpe kashkash za kutosha.
Ila ujiandae na uso kumporomoka kama ajuza wa miaka mia.
Hahahaha.....kweli aiseee, mei Dem wangu ana kilo 42, tunagombana kweli kuhusu kula, namlazimisha kumeza chips, makuku, bia, wapi hamna kitu wala hanenepi. Nakua kama niko namdogo wangu tukitoka out!
asanteni, i hate you though.
Mmenisimanga, mmeninyanyasa na tumbo langu na unene wangu.
Anyway, am butifu in the inside, and this world is not my home am just passing by.
Tai Jike nimependa ilo jinaMwanamke wa kiafrika lazima ninenepe bwana, **** ****, guu guu, nyonga nyonga kweli.
late where...?....mimi nina 91...
Hahahaha.....kweli aiseee, mei Dem wangu ana kilo 42, tunagombana kweli kuhusu kula, namlazimisha kumeza chips, makuku, bia, wapi hamna kitu wala hanenepi. Nakua kama niko namdogo wangu tukitoka out!
poleeeeeeee.asanteni, i hate you though.
Mmenisimanga, mmeninyanyasa na tumbo langu na unene wangu.
Anyway, am butifu in the inside, and this world is not my home am just passing by.
Acha uvivu fanya mazoezi, acha ulafi punguza kula. Lolz
Huo ubiutiful wa ndani si mpaka mtu avutiwe na wa nje ndo ahangaike nao?
poleeeeeeee.
Hata nje kwako tu panatosha. . .duh, pa kufanyia mazoezi sasa ni kazi.
Ngoja nitafute gym labda nianze.
Yaani mmenisimanga sana.
nipe ni mimi nimnenepeshe
Ukitaka kuwaona hawa wadada pita pita kwenye bar weekends au nenda kwenye muziki wa bend yaani huko wamejaa kibao utafikiri wanaigana kunenepa:lol:
Unakutana na binti mzuri cute, perfect figure, tumbo hamna shape saafi makalio si haba na kila kitu kingine anacho.
Unasema ngoja nijikite mazima unatangaza ndoa anakuwa wako.
Bwana wee hata miaka miwili haijapita binti kanenepa ajabu, na kitambi kina mtoka mvuto hamna tena na anaanza kuwa mvivu hata katika mambo yale ya msingi.
Mabinti tunzeni afya zenu, punguzeni ma junk food na mnapopewa offer bar msiagize kuku mzima kama uwezo wako ni kula kipaja kimoja ,ukiwa binti hutakiwi uwe na kitambi, na kuzaa sio kisingizio coz Jlo na Angelina Jolie wana watoto pia :biggrin: