Mnanenepa sana wadada

Mnanenepa sana wadada

Wewe kama hutaki mtu wako abongeke fanya nae mazoezi, wote kuleni kiafya zaidi. Sio unamlalamikia mwenzako wakati mwenyewe una kitambi cha kubeba na wilbaro.

kitambi hadi kufunga kamba za viatu awezi
 
Hahahaha lol sikua hata na mpango wa kucheka hivi leo mwe! ila kiukweli uzazi unasababishia wanawake wengi vitambi mwingine hata afanye mazoezi vipi.

Ila ukijitahidi mazoezi na diet kidogo kitambi kinapungua maana wengine wamezidi wajameni mtu anakua na kitambi utadhani amevishwa tairi la gari eneo la tumboni?

mimito habari yako
heri ya mwaka mpya
hapa hakuna kuchangia ni kusoma
hahahahahahah
 
kweli shosti huu mvuto unaonipa jeuri hapa mjini usiishe? Nitakuwa sipigiwi hata psiiiiiiiii tena loh

Ndio maana walikutapeli utume cv wakupe kazi kumbe mvuto umekuponza!
 
Hawa nao wanatuchanganya sasa, tukikondeana oooooooh mwanamke huna shukurani, ukinenepa pia mashaka. Wengine wanaenda gym kutwa mara tatu lakini bado vipipa kwa kwenda mbele. Hayo ni majaaliwa tu.

Hahahaha.....kweli aiseee, mei Dem wangu ana kilo 42, tunagombana kweli kuhusu kula, namlazimisha kumeza chips, makuku, bia, wapi hamna kitu wala hanenepi. Nakua kama niko namdogo wangu tukitoka out!
 
asanteni, i hate you though.
Mmenisimanga, mmeninyanyasa na tumbo langu na unene wangu.

Anyway, am butifu in the inside, and this world is not my home am just passing by.
 
Hahahaha.....kweli aiseee, mei Dem wangu ana kilo 42, tunagombana kweli kuhusu kula, namlazimisha kumeza chips, makuku, bia, wapi hamna kitu wala hanenepi. Nakua kama niko namdogo wangu tukitoka out!

42? Mtu mzima?
 
asanteni, i hate you though.
Mmenisimanga, mmeninyanyasa na tumbo langu na unene wangu.

Anyway, am butifu in the inside, and this world is not my home am just passing by.

Acha uvivu fanya mazoezi, acha ulafi punguza kula. Lolz

Huo ubiutiful wa ndani si mpaka mtu avutiwe na wa nje ndo ahangaike nao?
 
Hahahaha.....kweli aiseee, mei Dem wangu ana kilo 42, tunagombana kweli kuhusu kula, namlazimisha kumeza chips, makuku, bia, wapi hamna kitu wala hanenepi. Nakua kama niko namdogo wangu tukitoka out!

nipe ni mimi nimnenepeshe
 
duh, pa kufanyia mazoezi sasa ni kazi.
Ngoja nitafute gym labda nianze.

Yaani mmenisimanga sana.

Acha uvivu fanya mazoezi, acha ulafi punguza kula. Lolz

Huo ubiutiful wa ndani si mpaka mtu avutiwe na wa nje ndo ahangaike nao?
 
Ukitaka kuwaona hawa wadada pita pita kwenye bar weekends au nenda kwenye muziki wa bend yaani huko wamejaa kibao utafikiri wanaigana kunenepa:lol:

Mi huwa eti nadhan kila mwanamke mwenye kitambi ni mwanachama wa CCM.
 
Unakutana na binti mzuri cute, perfect figure, tumbo hamna shape saafi makalio si haba na kila kitu kingine anacho.

Unasema ngoja nijikite mazima unatangaza ndoa anakuwa wako.

Bwana wee hata miaka miwili haijapita binti kanenepa ajabu, na kitambi kina mtoka mvuto hamna tena na anaanza kuwa mvivu hata katika mambo yale ya msingi.

Mabinti tunzeni afya zenu, punguzeni ma junk food na mnapopewa offer bar msiagize kuku mzima kama uwezo wako ni kula kipaja kimoja ,ukiwa binti hutakiwi uwe na kitambi, na kuzaa sio kisingizio coz Jlo na Angelina Jolie wana watoto pia :biggrin:

Nakuunga mkono ila naona kama vile tutakuwa tunawaonea mabinti kila mara tukiwalaumu kwani tatizo hilo lipo pande zote mbili yaani hata kwa wanaume pia na kwa nijuavyo mimi anayeathirika kwa kiasi kikubwa ni mwanaume kuliko hata mwanamke kwani mara nyingi kadri mwili unavyokuwa na mafuta mengi kwa wanaume hata uwezo wa mambo fulani unakuwa mdogo. si lengo langu kuwatetea mabinti ila ni tatizo la pande zote mbili, yote kwa yote tufanye mazoezi jamani kwani mazoezi ni afya.
 
Back
Top Bottom