nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 1,939
- 1,257
Nani amekuambia tunaweza?Mimi binafsi siwez lala bila mto
Siwezi lala uchi yaan mali zangu ziwe naked kabisa siwez lazima nilale na bukta au pensi
Siwez lala taa ina waka
Siwezi lala mwanzoni mwa kitanda lazima nianguke
Siwez lala uku mziki una imba no
Ninyi wengine mna wezaje?
Style gani iyoNaweza kulala style moja hiyohiyo mpaka asubuhi.
Wengine mto ni kwaajili ya kuperuzi na kupitia kurasa mbili tatu baada ya hapo nikuuweka pembeni then usingizi.Mimi binafsi siwez lala bila mto
Siwezi lala uchi yaan mali zangu ziwe naked kabisa siwez lazima nilale na bukta au pensi
Siwez lala taa ina waka
Siwezi lala mwanzoni mwa kitanda lazima nianguke
Siwez lala uku mziki una imba no
Ninyi wengine mna wezaje?
nyie wakishua lazima mabo yawe mashikolo mageniDuh hii ngeni
KunyookaStyle gani iyo
Kabisa mwili lazm upu mzikeKuna watu mpo serious na usingizi hadi mnanunua mito na nguo za kulalia kabisa... Inasemekana watu watakaoachwa na bwana Yesu ni wapenda kulala. Sisi walevi tutaanza kumwona mawinguni hata kabla hajatuona ππ
Naisikia kwakoTupo fresh tu wengine tukilalia mto vichwa vinauma
Sema kweliSiwezi kulala na mto kabisa na penye giza ndiyo usingizi unanoga
Ila najua ww mpare una gorofa usangiShukuru hata unapo pakulala na mto
Bila pillow au bila Chupi?Mimi binafsi siwez lala bila mto
Siwezi lala uchi yaan mali zangu ziwe naked kabisa siwez lazima nilale na bukta au pensi
Siwez lala taa ina waka
Siwezi lala mwanzoni mwa kitanda lazima nianguke
Siwez lala uku mziki una imba no
Ninyi wengine mna wezaje?
Mh sema kweli πMimi siwezi kulala bila kujifunika shuka hata kuwe na joto kiasi gani
Ila la kejeriLakini mbona ni swali la msingi tu mkuu?π
Sisi walevi tunachukua chochote kilichoko karibu tunakigeuza mto π€£π€£Kabisa mwili lazm upu mzike
Nalala vibaya ππMpaka umri huu bado unaanguka kitandani π€£ We hata kukojoa si ajabu
Ndio nimeulizaNani amekuambia tunaweza?
Dah mm siwezWengine mto ni kwaajili ya kuperuzi na kupitia kurasa mbili tatu baada ya hapo nikuuweka pembeni then usingizi.
Ushua upinyie wakishua lazima mabo yawe mashikolo mageni