Mnao lala bila mto pillow mna wezaje?

Ngoja popo bawa wakufuate shekhe
 
Wewe unawezaje?

Kulala na mto
Kulala na nguo
Kulala na giza
Kulala ukutani
Kulala bila mziki

Tupe stori yako, wewe unawezaje?
 
Mimi hulalia mto ila usingizi ukianza nautupa pembeni siwez pata usingizi mzuti nikiwa nimelalia mto
 
Huu uongo wako utakupeleka pabaya πŸ˜…

Kwanini majirani wana mito we huna? 🀣
πŸ˜… majirani wanajali wageni na ndio mtu wapata nafasi ya kupumzika, mazingira yangu ya kulala hayapo comfortable inanipa sana kufanya kazi usiku, kuna dada alikuwa anahisi mie na maisha mazuri, akang'ang'ani kuja napo ishi na kulala, mbona nimetoka msindikiza akaniacha na kuniacha na simu yangu aka block.. Ukisha jaza mito na kitanda safi aah utalala masaa nane, kitu ambacho nitaugua na moyo kwa uchungu
 
Naweza kulala popote kwenye hali yoyote, nililala na kukoroma juu ya kokoto labda mbu na kunguni ndio wanaweza nifanya nisipate usingizi.
Ila siwezi kulala biila kufunika miguu, hata kuwe na joto kiasi gani bila kufunika miguu naona bado sijalala.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hayaaa!

Nunua weka kwenye box fungia huko mbali wageni wakija unawatolea wanakuwa confotabo wakiondoka unafungia tena, Hii itakuepusha kula block za mara kwa mara X.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…