ApolloShadow
JF-Expert Member
- Jul 19, 2025
- 925
- 1,962
π π Kwangu hakaribishwi mtu. Ila mahala pa kulala pakiwa pazuri hata akili inaamka sawa, ila pakiwa luxury sana mawazo mabaya ya kulala wawili huanza kujaπππ Hayaaa!
Nunua weka kwenye box fungia huko mbali wageni wakija unawatolea wanakuwa confotabo wakiondoka unafungia tena, Hii itakuepusha kula block za mara kwa mara X.
You see! Uchoyo tu π ππ π Kwangu hakaribishwi mtu. Ila mahala pa kulala pakiwa pazuri hata akili inaamka sawa, ila pakiwa luxury sana mawazo mabaya ya kulala wawili huanza kuja
Tunge kuzikaSio powa nilisikia njaa Kali sana
Utakuja katwa izo kengeleleKulalia mto siwezi kabisa, kila mtu ananishangaa ndo hivyo siwezi,,
Kulala taa inawaka aaah siwezi,,
Muziki uwe sauti ya chini,, sema hii ni video lazima nisikilize ndo nilale na itajirudia mpk simu izime,
Nalala uchi,, hata hapa nipo uchi ndani ya shuka,,
Nishamlza
πππ ungejuaunakaa kwenye mansion hapo njiro
Naweza ivyo ivyo mazoeaWewe unawezaje?
Kulala na mto
Kulala na nguo
Kulala na giza
Kulala ukutani
Kulala bila mziki
Tupe stori yako, wewe unawezaje?
Mm ime nishindakulala na muziki unapiga kwa sauti fulan hiv ya chin ni unyama sana kwangu
Duh wew kibokoMito mitano.
Kichwani, mgongoni, tumboni, katikati ya mapaja na miguuni kote mito.
PoleMimi hulalia mto ila usingizi ukianza nautupa pembeni siwez pata usingizi mzuti nikiwa nimelalia mto
Ata ukilala na shemejiKwani kuna watu wanalala bila mto??
Binafsi lazima nilale na mto,mto mwingine nauweka katikati ya mapaja ama kuukumbatiaView attachment 3454304
Picha
Ni kweli wengine nao wataanza kufwata kile mtu wa kwanza kasemakaka haloo umenichekesha yaani uzi unapotosha maana yote
Kuhemeana kule ndio siwezkitu sipend mimi kulala umekumbatiana na mtu aisee
HongeraSiwez kulala bila mto...kijifunika shuka pekeake mi so mait siwez.. pia siwez lala bila NGUO za kulalia ..taa iwake izime nalala tu
Hiii ime kaajeInategemeana na mwili wa mtu kama Sisi wembamba ukikunja mkono tu usingiz mwororo
KabisaNaweza kulala popote kwenye hali yoyote, nililala na kukoroma juu ya kokoto labda mbu na kunguni ndio wanaweza nifanya nisipate usingizi.
Ila siwezi kulala biila kufunika miguu, hata kuwe na joto kiasi gani bila kufunika miguu naona bado sijalala.
Mona hujaachia nafasi ya Shemeji yetu hapo!Mito mitano.
Kichwani, mgongoni, tumboni, katikati ya mapaja na miguuni kote mito.
AsanteHongera
Hata nikilala naeAta ukilala na shemeji
Hilo ndilo limesababisha ameniacha, Eti kachoka kulala amenyooka pekeyake kama mshumaa.Mona hujaachia nafasi ya Shemeji yetu hapo!
Hakijaharibika kitu,njoo PM nikupe ushauri wenye manufaa,Hilo ndilo limesababisha ameniacha, Eti kachoka kulala amenyooka pekeyake kama mshumaa.
π