binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Dah hadi nimepaliwa maziwa.Hakijaharibika kitu,njoo PM nikupe ushauri wenye manufaa,
Au nikupigie kwenye ile namba yako ya TTCL?
sina kengele Nina pumbu au korodani,,Utakuja katwa izo kengelele
Ulikua na usingizi wa ukuruti?🤣Naweza kulala popote kwenye hali yoyote, nililala na kukoroma juu ya kokoto labda mbu na kunguni ndio wanaweza nifanya nisipate usingizi.
Ila siwezi kulala biila kufunika miguu, hata kuwe na joto kiasi gani bila kufunika miguu naona bado sijalala.
Yaani nikifikiria jinsi nililala na kupata usingizi kwenye kokoto mpaka asubuhi hata sielewi. Ulikuwa usingizi wa zaidi ya weeks bila kufumba hata jicho 😂😂😂Ulikua na usingizi wa ukuruti?🤣
Unalalaje kwenye kokoto sasa hivi katika Amani.🥺
Nakujua ww hua unalalia tofali la brok🤣🤣Siwezi kulala na mto kabisa na penye giza ndiyo usingizi unanoga
Hii ngumuHata nikilala nae
Ndio una pata usingiz 😂Mastori mengi
Ahahah kukulogasina kengele Nina pumbu au korodani,,
Azifanyie nn ??
Ukuruti una weza lala ata kichakani kabisa 😂😂Ulikua na usingizi wa ukuruti?🤣
Unalalaje kwenye kokoto sasa hivi katika Amani.🥺
Maisha bukuAhahah kukuloga
Nalal juu ula najibanza ukutani kabisa kule kivile hakuna mto nachukua begi naliweka nalaliaHiyo ya kulala mwanzoni utaanguka🤣🤣🤣🤣 sasa kwenye zile deka za juu za futi mbili na nusu, Mliishije au ulikua na uadui na kulala juu?
Chumba kikiwa na mwanga lazima ustukeWakuu mnalalaje giza aisee
Acha basiMaisha buku
Why? Umetumia kitu gani kujua iloMtoto laini laini sana wewe. Utafankiwa kweli???
Hizo scenario zako mbona ziko kimayai sana.Why? Umetumia kitu gani kujua ilo