Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
-
- #121
Nimeongelea kwa mazingira ya nyumbni nikikuoneshea maangaiko yangu sizan kama utawezaHizo scenario zako mbona ziko kimayai sana.
Huwez kulala na muziki unaimba huku wengine tunalala na earphone, watu wana lala war combat zone, watu tunalala kwenye edge ya kitamba kabisa na tunajigeuza na hatuanguki, tunalala juu bomba za fuso zile usiku chuma inatembea na baridi kali, tunalala pillow ngumi chini umepiga buti.
Na unavyopenda kupika pika hivyo unaweza ukalala na njaa wewe??
OKayNimeongelea kwa mazingira ya nyumbni nikikuoneshea maangaiko yangu sizan kama utaweza
wengine wanahema vibaya sana mazoezi hamna koo sijui limelegea pua zimebana haeleweki hema yake nyie wanawake jitafakali buanaπππ€£Kuhemeana kule ndio siwez
haaa yaani dk kumi nishamwachia mimi nimetanua miguu nimelala kifudi fudi usingizi ndio utakuja.Mie pia kulala nimekumbatiana na mtu sio tu sipendi...siwezi pia
Nikilala na mto kichwa uwa kinaumaNakujua ww hua unalalia tofali la brokπ€£π€£
Tunaolala bila mto pia tunakushangaa unawezaje kulala kichwa kikiwa juu ya mto, maana wengine tukijaribu lazima tupaliwe ama tuhisi kama tunakabwa na tukiamka shingo zinauma kama tulikuwa tunapakua mzigo kwenye kontena.Mimi binafsi siwez lala bila mto
Siwezi lala uchi yaan mali zangu ziwe naked kabisa siwez lazima nilale na bukta au pensi
Siwez lala taa ina waka
Siwezi lala mwanzoni mwa kitanda lazima nianguke
Siwez lala uku mziki una imba no
Ninyi wengine mna wezaje?
Aaah wap ww c useme tu hujazoea mambo ya mitoπ€£Nikilala na mto kichwa uwa kinauma
Mto uwa nautumia kwa kazi maalum tuAaah wap ww c useme tu hujazoea mambo ya mitoπ€£
Bora hata kichakani, mimi nililala huku natembea na nimebeba ndoo ya maji kichwani na ndoto kabisa naota. Nikaja kushtuliwa na kuruti mwenzangu baada ya kuona nimeacha njia naingia msituni.Ukuruti una weza lala ata kichakani kabisa ππ
Ahahah mm nilisomwa jina majina yote matatu mpaka leo sikumbuki yule afande majina yangu aliyapataje na kila mmoja alikuwa ana taja jina lake ila mm sikumbuki kama nilitaja jina languBora hata kichakani, mimi nililala huku natembea na nimebeba ndoo ya maji kichwani na ndoto kabisa naota. Nikaja kushtuliwa na kuruti mwenzangu baada ya kuona nimeacha njia naingia msituni.
Mtu akikusimulia unaweza kuhisi uongo ila kwa waliopitia ukuruti watakuwa na ushuhuda.
Kuna siku nitakutembeleaKulala na nguo na upo mwenyewe nimeshindwa kabisa
Ahahah una msema ex wako sioIla nawe, kwanini isiwezekane
Mtu anakichwa kikubwa mto wa Niniπ€¨
πππX wangu wa kitaa nimsemee jf, itashangaza kidogoAhahah una msema ex wako sio
Ahahah uyo ni wa jf et?πππX wangu wa kitaa nimsemee jf, itashangaza kidogo
Umenitag nimejaribu kusoma mnachojadili sijaelewa kabisa, nimesoma heading ndo kabisa nimechanganyikiwa. Nini kinaendelea hapa?Wa jf unamjua wewe, maana hata nikisema unitajie ni nani utabaki kusema To yeye ni Malaya....ulimwambia Zulu about me,laiti wangekuambia uprove sijui ungeprove vip...mnabaki kuwazungumzia kina smart ambao hata sura hatuwafahamu.... najua sipatani nawe Mpaji Mungu ila nakaza tu maana sikufahamu hivyo naogopa nitajicheka kugombana na mtu nisiyemfahamu....jf kina Manfred mpo wengi ila tunafunika tu.Kifo kipo tusifanyiane mabaya mkuu
VizuriUmenitag nimejaribu kusoma mnachojadili sijaelewa kabisa, nimesoma heading ndo kabisa nimechanganyikiwa. Nini kinaendelea hapa?