Mnao sema Simba kacheza fainali mara 2 ushaidi huu hapa

Mnao sema Simba kacheza fainali mara 2 ushaidi huu hapa

Chick_tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2025
Posts
2,447
Reaction score
3,302
1000001013.jpg
 
Shirikisho
Mamelodi hayupo na Al Ahly mara moja 1 lakini timu zote, ukitoa Al Ahly. Hawajafikia ubora wa Mamelodi na Al Ahly.
Hayo mashindano siyo ya kujivunia😁😁😁
Unajua Mamelodi na Al ahly wakicheza confederation kuna watu watafukuzwa kazi?
Simba inajenga timu na hiyo ni kama kunoa kikosi tu
 
Haya tuambie mwaka 1993 final ya Caf confideration ilicheza timu gani dhidi ya timu gani
Huwezi jua kwasababu ni sawa na AFL (African Football League) ambapo yanga hakucheza na haitacheza milele
Hiyo Confederation siyo ya kujivunia maana Mamelodi hayupo lakini huwezi kumlinganisha na mwakakikundi
 
1)CAF CUP walikuwa wanacheza waliokuwa wapili kwenye ligi kuu ,kwa utani linaitwa kombe la Abiola

2)CUP WINNERS CUP. walikuwa wanacheza waliokuwa mabingwa wa FA kipindi hicho. Ni mfano wa CRDB FEDERATION KWA sasa.

Ila mshindi wa CUP WINNERS cup ndio alikuwa anacheza ngao ya jamii CAF SUPER CUP na mshindi wa club bingwa Afrika

Baadaye miaka ya 2004 ndio wakaunganisha hayo makombe mawili wakapata CAF Confederation CUP.

Hivyo miaka ya 90 na kurudi nyuma hapakuwa na CAF confederation cup


YANGA naye hilo CAF CUP(kombe la Abiola) alishiriki kama mara mbili.

1) 1994 CAF CUP .
Mara ya kwanza alitolewa raundi ya kwanza na Moroka Swallows ya South Afrika. Nyumbani yanga ikishinda 1-0 ,ugenini Yanga ikapigwa 2-0 ,ikatolewa. Ilikuwa raundi ya kwanza

2)1999 CAF CUP.
Mara ya pili ilikuja kutolewa na timu ya Nigeria kwa kufungwa jumla ya magoli 4 KWA bila. Nyumbani alipigwa 1 kule akapigwa tatu. Aggregate 4-0. HIYO PIA ILIKUWA RAUNDI YA KWANZA TENA

Kwahiyo Yanga naye alikuwa na vigezo vya kushiriki kombe la Abiola tatizo mavuno ndio yalikuwa madogo.

HITIMISHO


Simba shirikisho fainali kaingia mara moja. CAF CUP fainali kaingia mara moja. Jumla mashindano ya CAF simba kaingia mara mbili
 
NAKUSHANGAA SANA MWANASIMBA UNAYETAFUTA LEGALITY KWA WATU WAPUMBAVU..UTAKESHA SANA..ACHANANAO.
 
Nafikiri admin wa page ya CAF ni born 1990 kuja mbele. Mwaka 1993 Simba ilicheza kombe hilo. Kubadili jina isiwe sababu. Sawa na wanaosema Liverpool imeshinda EPL mara 2 tu kwa kuwa wanaanza kombe lilipobadilishwa jina kuwa English Premier League kutoka kuitwa Barclays Premier League.

Jibu la AI ya @grok hili hapa:-
Screenshot_20250428_183423_Samsung Internet.jpg


Na ya EPL kibadili jina hii hapa:-
Screenshot_20250428_140535_Google.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20250428_183423_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20250428_183423_Samsung Internet.jpg
    173.6 KB · Views: 14

Hilo ni Kombe la Shirikisho. Simba ilicheza pia fainali ya Kombe la CAF. Kwa hiyo wanaosema Simba imecheza fainali mbili za michuano inayoandaliwa na CAF wapo sahihi kabisa:
1. Kombe la CAF 1993
2. Kombe la Shirikisho 2025

Sasa sijajua wanaopinga na kusema kwamba Simba haijacheza fainali mbili za michuano inayoandaliwa na CAF, sijui wanatumia hoja gani
 
Hilo ni Kombe la Shirikisho. Simba ilicheza pia fainali ya Kombe la CAF. Kwa hiyo wanaosema Simba imecheza fainali mbili za michuano inayoandaliwa na CAF wapo sahihi kabisa:
1. Kombe la CAF 1993
2. Kombe la Shirikisho 2025

Sasa sijajua wanaopinga na kusema kwamba Simba haijacheza fainali mbili za michuano inayoandaliwa na CAF, sijui wanatumia hoja gani
Wanapotosha makusudi au kutojua,wanakomaa kuwa Simba hawajacheza fainali mbili za Shirikisho utadhani Simba wanadai wamecheza CAFCC mara mbili,hoja ni mashindano CAF
 
Back
Top Bottom