Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kwani kuna uwiano wowote kati ya kusikitika na kuamini au kutoamini uwepo wa Mungu?Hii vita ya Urusi na Ukraine na Sasa Iran na Israel imenifanya niwaze baadhi ya mitizamo (siyo misimamo) ya wasioamini kuwa kuna Mungu.
Kwa mfano kinachowafanya wasioamini kuwa kuna Mungu wasikitike watu wakiuana ni nini? Msingi wa masikitiko yao ni nini?
Wengine wanasikitika kwa kuwa wanaamini ni dhambi kumwaga damu ya mtu asiye na hatia.Kwani kuna uwiano wowote kati ya kusikitika na kuamini au kutoamini uwepo wa Mungu?
Kwasababu hakuna Mungu unadhani kufanya jambo baya ni vizuri kwako? Kutokuamini uwepo wa Mungu hakuondoi humanityWengine wanasikitika kwa kuwa wanaamini ni dhambi kumwaga damu ya mtu asiye na hatia.
Kama hakuna uhusiano na kuamini kama Kuna Mungu au lah, ni kwa nini basi mtu asikitike mwingine akiuawa?
Kuna jamaa hapo chini amekuqoute kwamba kutoamini uwepo wa Mungu hakuondoi humanity, kwahiyo ukiachana na imani kuna ubinadamu ambao upo ndani ya mtu.Wengine wanasikitika kwa kuwa wanaamini ni dhambi kumwaga damu ya mtu asiye na hatia.
Kama hakuna uhusiano na kuamini kama Kuna Mungu au lah, ni kwa nini basi mtu asikitike mwingine akiuawa?
Exactly 💯Kwasababu hakuna Mungu unadhani kufanya jambo baya ni vizuri kwako? Kutokuamini uwepo wa Mungu hakuondoi humanity
Exactly 💯Kwasababu hakuna Mungu unadhani kufanya jambo baya ni vizuri kwako? Kutokuamini uwepo wa Mungu hakuondoi humanity
Exactly 💯Utu au kutenda wema na kufuata kanuni njema zinazo Jenga mustakabali wa amani Nikanuni ambayo ipo tu Duniani Kwa ajili ya power imbalance Wala Haina uhusiano wowote Ule na uwepo wa mungu
Yaani wewe na akili zako timamu hapo ulipo Unahitaji Kuambiwa na the so called Mungu kuwa usiibe maana kuiba sio jambo jema kwakua utakuwa unachukua kitu cha mtu alicho kitolea jasho bila ya ridhaa ya mwenyewe na kufanya hivyo ni dhulma , Hiyo si kanuni ya kawaida tu ya maisha , na Ina apply hata Kwa wanyama ndio maana ni rahisi kukuta kuku au mbwa wakipigina Kwa kugombania chakula , Kwa sababu nature the way ilivyo Ina mfanya Kila kiumbe kuwa mbinfsi
So hizo kanuni zimewekwa mahsusi ili kupunguza ubinfsi wa binaadamu walau Dunia Iweze kupunguza matukio ya kutendeana unyama baina ya mwenye nguvu na asiye na nguvu ,
Wala sio issue ya ithibati kuwa Kuna Mungu
🙏Exactly 💯
Wewe ni kitu gani kinakufanya uone kuua wengine ni jambo baya. Halafu hiyo "humanity" inajengwa juu ya msingi upi?Kwasababu hakuna Mungu unadhani kufanya jambo baya ni vizuri kwako? Kutokuamini uwepo wa Mungu hakuondoi humanity
Hiyo kanuni ilianzaje kuwepo. Kilitokea nini hadi binadamu wakawa na kanuni ya kujua jambo jema na baya?Utu au kutenda wema na kufuata kanuni njema zinazo Jenga mustakabali wa amani Nikanuni ambayo ipo tu Duniani Kwa ajili ya power imbalance Wala Haina uhusiano wowote Ule na uwepo wa mungu.
Huo ubinadamu ni mfanano. Yaani Kila mtu ana huo ubinadamu? Jee wale wanaotengeza hizo zana za maangamizi za kivita wana huo ubinadamu ama hawana?kwahiyo ukiachana na imani kuna ubinadamu ambao upo ndani ya mtu.
Kile unachofikiri si sahihi kufanyiwa hata wewe usimfanyie mwingine, kama hupendi watoto wako wabakwe na wewe usibake wa wenzako.Wewe ni kitu gani kinakufanya uone kuua wengine ni jambo baya. Halafu hiyo "humanity" inajengwa juu ya msingi upi?
Kwa ivo Mimi kama naona watoto zangu kubakwa ni sawa, na Mimi naruhusiwa kubaka watoto wa wengine?Kile unachofikiri si sahihi kufanyiwa hata wewe usimfanyie mwingine, kama hupendi watoto wako wabakwe na wewe usibake wa wenzako.
Kanuni ya maisha inayokua imekiukwa haijui !??Hiyo kanuni ilianzaje kuwepo. Kilitokea nini hadi binadamu wakawa na kanuni ya kujua jambo jema na baya?
Maana Simba mwituni wanakula wanyama wenzao na inaonekana ni sawa. Sisi binadamu tunachinja maelfu ya wanyama Kila siku kwa ajili ya vitoweo na inaonekana kuwa ni sawa tu.
Sasa hiyo kanuni ya kuona si jambo jema kuua binadamu wenzetu linetokana na nini. Kwa binadamu akimuia mwenzake anakuwa amekiuka kanuni gani ya maisha?
Kigezo cha kuamua hiki ni kibaya au kizuri ni nini. Kwa mfano mtu kumuoa mama yake mzazi ni sawa au si sawa?Kitu kuwa kibaya au kizuri haisabishwi na "Mungu".