Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,620
- 6,780
Kwahiyo mambo ya tabia na imani huwa zinajengwa na mazingira ambayo yamemlea mtu husika.
Na ndio maana imani na tabia ni vitu ambavyo mara zote vinabaki kuwa subjective, unachoamini wewe sicho ambacho mtu mwingine anaamini na tabia ambayo wewe unaiona ni nzuri si tabia ambayo inaweza kuwa nzuri kwa kila mtu ambae amekuzwa kwenye mazingira tofauti na wewe, na hata ile ambayo wewe unaiona mbaya haimaamishi Kila mtu anaweza kuiona mbaya bali wapo watu wanaiona ni nzuri kulingana na mazingira ambayo wao wamekulia.
Kwahiyo wapo watu ambao hawaamini uwepo wa Mungu ila hawaoni kwamba ni jambo jema kumuua mwanadamu mwingine kwa namna yoyote ile ila wapo watu ambao wanaamini uwepo wa Mungu na swala la kuua kwao ni kawaida hasa katika muktadha huu au ule ambao upo ndani ya imani yao na ikitokea wakafanya hivyo basi hakuna majuto yoyote bali wanajiskia amani kwenye roho zao kwani wamefuata matakwa ya kiimani na wanaamini hata Mungu wao anafurahia huko aliko baada ya wao kufanya hivyo.