Sijakuelewa hasa unakusudia nini kuhusiana na jambo lolote ovu linaloweza kukukwaza au kukudhuru au kukusikitisha linavyohusiana na kuamini au kutokuamini uwepo wa Mungu, hata vita vinavyoendelea Iran na Israel ni kwasababu ya kuamini uwepo wa Mungu huyo huyo, na ukiangalia historia duniani wengi wamekufa kwasababu yakuwa na ushindani wa kuamini Miungu.Kwa ivo Mimi kama naona watoto zangu kubakwa ni sawa, na Mimi naruhusiwa kubaka watoto wa wengine?
Sasa nini kuliongoza utungwaji wa hizo kanuni? Kwa mfano jambazi akimuua Polisi ni kosa ila Polisi akimuua Jambazi siyo kosa. KWANINI?Jibu ni kwamba haitowezekana that's why hizo kanuni zikaundwa ili kuwafanya binaadamu waweze kuwa watulivu na watawala na watu wenye power wapate kunufaika Kwa wepesi na mapato yanayo Toka Kwa wananchi etc
Wewe umesema kujua jambo jema inatokana na lile usilolipenda kutendewa usitendee wengine. Ndiyo nikakuuliza jee kutakuwa na ubaya kama naamini mwanangu kubakwa siyo kosa, jee Mimi naruhusiwa kubaka watoto wa wengine?Sijakuelewa hasa unakusudia nini ...
Sio sawa, sababu ni za kibaiolojia, google 'inbreeding' na madhara yake.Kigezo cha kuamua hiki ni kibaya au kizuri ni nini. Kwa mfano mtu kumuoa mama yake mzazi ni sawa au si sawa?
Kwa mfano Mimi sijali madhara hayo ya sababu za kibaiolojia, nikioana na mama yangu mzazi itakuwa sawa tu?Sio sawa, sababu ni za kibaiolojia, google 'inbreeding' na madhara yake.
Kimsingi hakuna jema na baya, mtazamo ndo unategemewa, kwasababu maadili ni dhana dhahania.Hiyo kanuni ilianzaje kuwepo. Kilitokea nini hadi binadamu wakawa na kanuni ya kujua jambo jema na baya?
Maana Simba mwituni wanakula wanyama wenzao na inaonekana ni sawa. Sisi binadamu tunachinja maelfu ya wanyama Kila siku kwa ajili ya vitoweo na inaonekana kuwa ni sawa tu.
Sasa hiyo kanuni ya kuona si jambo jema kuua binadamu wenzetu imetokana na nini. Kwa binadamu akimuia mwenzake anakuwa amekiuka kanuni gani ya maisha?
Sasa nini kuliongoza utungwaji wa hizo kanuni? Kwa mfano jambazi akimuua Polisi ni kosa ila Polisi akimuua Jambazi siyo kosa. KWANINI?
Yaani kanuni zinazushwa tu bila ya kuwepo kwa Muongozo mahsusi kuhusu utungwaji wa kanuni husika?
Allen Kilewella jibu la swali lako hili hapa ,Sio sawa, sababu ni za kibaiolojia, google 'inbreeding' na madhara yake.
Katika jamii mambo yalikuwa categorized kuwa mabaya au mazuri kutokana na matokeo yake na experience.
Hata bila mwongozo wa dini au sayansi, jamii ziliweza kujua kipi ni kizuri na kipi ni kibaya kutokana na matokeo ya kitu hicho na experience zao.
Ndugu wakizaa, kuna uwezekano mkubwa wa watoto wao kuwa na matatizo makubwa ya kiafya na wengi wanakufa wakiwa wadogo.
Hivyo hata kabla ya dini, kwenye jamii nyingi duniani ilikuwa ni mwiko kwa ndugu wa damu kaoana, japo hawakuwa wanajua the exact science behind, lakini walikuwa na uwezo wa kuona matokeo na madhara yake.
😁😁😄😄You are right
Kujali au kutokujali hakuna uhusiano, wewe nenda kazae na mama yako au watoto wako sasa hiviKwa mfano Mimi sijali madhara hayo ya sababu za kibaiolojia, nikioana na mama yangu mzazi itakuwa sawa tu?
Naam that's why katika siasa wanatumia hiyo mechanism kwaajili ya kujilinda na kulinda maslahi yao na kuendelea kuyapata maslahi yao ,Kimsingi hakuna jema na baya, mtazamo ndo unategemewa, kwasababu maadili ni dhana dhahania.
Binadamu hakupitia mageuzi ya kimaumbile tu, alipitia mageuzi ya kijamii pia yaliyomuwezesha kuishi kijumuiya kwa lengo la kupata tija zaidi.
Kwahiyo maadili, ni kanuni zinazofanya jamii isitoweke. Mema ni yale yanayostawisha jamii, na mabaya ni yale yanayoumiza.
Kwa ivo siyo jambo baya?Kujali au kutokujali hakuna uhusiano, wewe nenda kazae na mama yako au watoto wako sasa hivi
Kwa maelezo yako haya ni kumbe duniani hakuna jambo jema ama baya ila inategemea upande uliopo wakati unapotenda jambo husika?Naam that's why katika siasa wanatumia hiyo mechanism kwaajili ya kujilinda na kulinda maslahi yao na kuendelea kuyapata maslahi yao ,
Katika jamii kuua kuteka kubaka kufisadi kuvunja Sheria na mambo yenye mfanano na hayo ni Vitu vibaya tena sana lakini ktk league ya siasa hayo mambo hayana ubaya kabisa ni halali Kwa victims na ni haramu Kwa victims pia
Ubaya wa hayo mambo na uhalali wake it depends na upande ambao victims watakao kuwa wame uegemea
Ndio maana Israel kuwaua maadui zake kwaajili ya kulinda maslahi yao Kwa upande wao ni sahihi na maadui wa Israel kuwaua wa Israel kwaajili ya kulinda maslahi yao pia wapo sahihi hiyo ndio nature ilivyo ,
Sisi huwa tuna lalamika tu but we can't fight with nature,
Mandela aliwahi kusema ubaya na uzuri wake che Guevara inategemea na upande ambao atakao kuwa ameuegemea
Mfano ulio hai ni Kwa Tundu lissu Kwa wafuasi wa chama chake Tundu lissu ni shujaa
Lakini Kwa wafuasi wa chama tawala na wafuasi wao Tundu lissu ni Threat cause wanaona anataka kuwa pokonya mkate ,
Kila mtu anao huo ubinadamu ila ni kwa namna gani umeweza kumuathiri mtu na mtu hutegemea zaidi namna ambavyo amekua trained na mazingira ambayo yeye amekulia.Huo ubinadamu ni mfanano. Yaani Kila mtu ana huo ubinadamu? Jee wale wanaotengeza hizo zana za maangamizi za kivita wana huo ubinadamu ama hawana?
Kuwa na ubaya au kutokua na ubaya sio wewe kusema au kufahamu, ni matokeo utakayoyapata, ndio maana zinawekwa sheria ili kukutahadhari kwa faida yako kabla hujapata hayo matokeo maana unaweza usifahamu,Kwa ivo siyo jambo baya?
Kwahiyo kile ambacho huingizwa ndani ya mtu ndicho ambacho huamua aina ya imani yake na humanity ambayo huwa ndani yake.
Exactly 💯Kwa maelezo yako haya ni kumbe duniani hakuna jambo jema ama baya ila inategemea upande uliopo wakati unapotenda jambo husika?
Kwamba wasioamini mungu hawapaswi kuwa na maumivu ya kihisia??Wengine wanasikitika kwa kuwa wanaamini ni dhambi kumwaga damu ya mtu asiye na hatia.
Kama hakuna uhusiano na kuamini kama Kuna Mungu au lah, ni kwa nini basi mtu asikitike mwingine akiuawa?