Sasa huyo mtu atatokea kusema hivyo kwa muktadha upi?Sawa kabisa. Binadamu huzaliwa na ubongo ulio wazi kabisa. Na hii inanipeleka kuamini kuwa uwepo wa binadamu hapa duniani hauna kusudio mahsusi.
Kama ni hivyo ikitokea mtu akasema wanaume wote wa Tanzania wauawe, na wanaume wa Tanzania tukashindwa kujitetea, mtu huyo hawezi kulaumiwa Kwa kuwaua wanaume wa Tanzania?
Allen Kilewella pia unatakiwa kuelewa kwenye hii dunia hakuna haki, lazima kuwe na aliyepo juu na aliyepo chini ili kuwe na uhai, ndio maana kila kiumbe hai ikiwemo mimea kuna me na ke, pia circumstances zote zina - na + side, hiyo ndio inaleta balance,Exactly π―
Yale anayo yafanya netanyahu na Khomeini laiti kama yange kuwa yanafanywa na Mimi na wewe tungeitwa Magaidi na Dunia ingetutenga ,
consciousness, mateso na maumivu.Kigezo cha kuamua hiki ni kibaya au kizuri ni nini. Kwa mfano mtu kumuoa mama yake mzazi ni sawa au si sawa?
Nadhani wakati anaandika hili andiko hakufikiria upande huu au labda kuna namna alitaka awasilishe kitu fulani ila akashindwa namna sahihi ya kukiwasilisha.Kwa nini kuna watu wanaoamini kuna Mungu lakini hawasikiti watu wakiuuana au hata wenyewe wanaweza kuua kabisa bila huruma ?
Binadamu wangu kibaolojia hawawezi kuwa na matamanio ya kingono kwa wazazi wao, dada zao au kaka hasa ambao wameishi nao kwa karibu, hiyo ni evolutionary psychology.Kwa mfano Mimi sijali madhara hayo ya sababu za kibaiolojia, nikioana na mama yangu mzazi itakuwa sawa tu?
Mleta uzi atakuwa hajui binadamu wengi wanaoua na kutesa binadamu wenzao ni waamini mungu na wenye dini.Nadhani wakati anaandika hili andiko hakufikiria upande huu au labda kuna namna alitaka awasilishe kitu fulani ila akashindwa namna sahihi ya kukiwasilisha.
Thou dhima kubwa ya hili andiko ni kuwabana watu wasio amini uwepo wa Mungu kupitia masikitiko ya kifoπ π π
Hii mada ni nzito na tayari mleta mada ametutelekezeaππMleta uzi atakuwa hajui binadamu wengi wanaoua na kutesa binadamu wenzao ni waamini mungu na wenye dini.
ππππ Hajui hata kama palikuwa na vita ya crusadeMleta uzi atakuwa hajui binadamu wengi wanaoua na kutesa binadamu wenzao ni waamini mungu na wenye dini.
Kmmk π π πKwa nini watu mnaamini mkifa mtaaenda kwa Mungu ? ila mtu akifa mnalia na kusikitika?
Evolution, binadamu wameuana sana lakini kadri muda ulivyokuwa unaendelea wakagundua kuna manufaa zaidi katika kushirikiana na kuishi kijamii badala ya kuuana. Hata hivyo binadamu wamepunguza kuuana kwa sababu ya kuishi katika jamii na kujua ukweli kwamba ikihalalishwa kuuana kiholela basi hakuna mfumo wa maisha kuishi kijamii utakowezekana.Hiyo kanuni ilianzaje kuwepo. Kilitokea nini hadi binadamu wakawa na kanuni ya kujua jambo jema na baya?
Maana Simba mwituni wanakula wanyama wenzao na inaonekana ni sawa. Sisi binadamu tunachinja maelfu ya wanyama Kila siku kwa ajili ya vitoweo na inaonekana kuwa ni sawa tu.
Sasa hiyo kanuni ya kuona si jambo jema kuua binadamu wenzetu imetokana na nini. Kwa binadamu akimuia mwenzake anakuwa amekiuka kanuni gani ya maisha?
Kusikitika watu wakiuana si lazima kuendane na imani ya Mungu.Hii vita ya Urusi na Ukraine na Sasa Iran na Israel imenifanya niwaze baadhi ya mitizamo (siyo misimamo) ya wasioamini kuwa kuna Mungu.
Kwa mfano kinachowafanya wasioamini kuwa kuna Mungu wasikitike watu wakiuana ni nini? Msingi wa masikitiko yao ni nini?
Kiranga on this one πππKusikitika watu wakiuana si lazima kuendane na imani ya Mungu.
Actually, imani ya Mungu inaweza kukufanya uwe mkatili na muuaji zaidi, kwa mfano, ukiamini kwamba unaua kwa jina la Mungu kama magaidi fulani waliotekwa akili wanavyoamini.
Mtu anaweza kujiwekea misingi ya kuheshimu haki ya kibinadamu ya kila mtu kuishi kwa usalama, akasikitika watu kuuawa. Au mtu anaweza kujua katika dunia ambayo mtu kuuawa ni kitu cha kawaida kisichosikitisha, hata maisha yake yanakuwa hatarini.
Hatuhitaji kuamini Mungu ili kusikitika mtu akiuawa.
In fact ukiwa na imani ya Mungu kifo cha mtu kinatakiwa kisikusikitishe kwa sababu utaona hayo ni mapenzi ya Mungu tu. Mungu alitoa na Mungu alitwaa, jina la Mungu lihimidiwe.
Ukiwa muamini Mungu halafu ukasikitika mtu kufa ni contradiction.
Lakini tusioamini Mungu hatuna imani hizo na kifo kutusikitisha hakuna contradiction.
Hii ina UHUSIANO gani na MUNGU?Hii vita ya Urusi na Ukraine na Sasa Iran na Israel imenifanya niwaze baadhi ya mitizamo (siyo misimamo) ya wasioamini kuwa kuna Mungu.
Kwa mfano kinachowafanya wasioamini kuwa kuna Mungu wasikitike watu wakiuana ni nini? Msingi wa masikitiko yao ni nini?
Ukapimwe akili wewe. Kwani uwepo wa Mungu una uhusiano gani na mtu kufa/kuuawa?Hii vita ya Urusi na Ukraine na Sasa Iran na Israel imenifanya niwaze baadhi ya mitizamo (siyo misimamo) ya wasioamini kuwa kuna Mungu.
Kwa mfano kinachowafanya wasioamini kuwa kuna Mungu wasikitike watu wakiuana ni nini? Msingi wa masikitiko yao ni nini?
Swali lako la kijinga, hilo swali ulipaswa kuwauliza wanao amini kuwa kuna Mungu . Na wakifa wanaenda mbiguni. Wasio amini Mungu ndio wanapaswa kusikitika mtu akifa kwasababu wao wanaona kuwa huo ndio mwisho. Nisawa na kuona gari lako likiteketea kwa moto , lazima usikitike. Lakini kama ukijuwa kuwa gari lako Lina Bima hata likiunguwq unapewa lingine mpya huwezi kusikitika. Kwahiyo wanao mwamini Mungu wanapaswa kusherehekea mtu akifa kwasababu wanakwenda kwa Mungu kuanza maisha mazuri zaidi.Hii vita ya Urusi na Ukraine na Sasa Iran na Israel imenifanya niwaze baadhi ya mitizamo (siyo misimamo) ya wasioamini kuwa kuna Mungu.
Kwa mfano kinachowafanya wasioamini kuwa kuna Mungu wasikitike watu wakiuana ni nini? Msingi wa masikitiko yao ni nini?