Mnaoamini hakuna Mungu kwanini mnasikitika watu wakiuana?

Daah we jamaa, nini hiki great thinker unaandika.

Kuna uhusiano gani mtu kusikitika na kuamini Mungu yupo??
Yaani wewe msingi wako wa masikitiko ni kwakua unaamini Mungu anakuona ukisikitika?

We jamaa siku ukiwa atheist hakyanani utakua serial killer.
 
UTU NA UBINAADAMU HATA NYATI HUSIKITIKA NA KUOMBOLEZA PALE SIMBA ANAPOMLA MWENZAO,TAFUTA FANANISHO LINGINE.
 

Ni kwa sababu ya utu (roho ya huruma inamuingia aona kinachotendeka sio haki)
 
Ukiwa na nyavu ya kuvulia samaki ya matobo ya nchi moja hutaamini kuwa kuna samaki wadogo zaidi ya nchi moja kwa kuangalia samaki utakaovua.

Your fishing net will give you biased results.

What is the equivalent to that fishing net in your assumptions and methods?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…