Kuna watu wanaamini matatizo yao yapo kwa sababu ya mkono wa mtu ,yani wanajiona wanastahili jambo fulani ila kuna mtu kazuia 😄😄Ukiita watu elfu kumi sasa hv ukawaambia wakwambie shida zao kubwa mbili zinazowakabili.. Hakuna atakayekwambia uchawi wote watakwambia tatizo kubwa ni pesa na maradhi..
Shetani na mungu hawapo. Kwa hiyo wewe kaka yake shetani ni kaka wa kitu ambacho hakipo.kama unajua kuna mungu kwa nini usijue kuna shetani
kama hawapo kwa nini unaamini kuna miunguShetani na mungu hawapo. Kwa hiyo wewe kaka yake shetani ni kaka wa kitu ambacho hakipo.
Kuamini kitu ,hakufanyi kitu hicho kiwepo.kama hawapo kwa nini unaamini kuna miungu
Hata miungu hawapo.kama hawapo kwa nini unaamini kuna miungu
kama hawapo wewe ulijuaje hawapo tuanze na mama yako kwanzaHata miungu hawapo.
Ni mawazo ya binadamu tu kutaka kujifariji.
Tuanze na mama yangu? Tuanze nae kufanyaje?kama hawapo wewe ulijuaje hawapo tuanze na mama yako kwanza
ndio mungu wako sasaTuanze na mama yangu? Tuanze nae kufanyaje?