Ambacho haujui Ni kwamba hata hayo maradhi na ukosefu wa pesa yapo yanayosababisha na uchawi kwa asilimia kadhaa, naamini pia ktk science.
Zipo cases nyingi mpaka za Benki kupotelewa na fedha kimiujiza. Na Kuna Benki moja Dar walikuwa wanapigwa pesa na mama mmoja mchawi amesimama mlangoni Ila anazipiga pesa kutokea counter na watu hawajui. Mungu saidia akatokea Mchungaji mmoja mwenye macho ya rohoni akamtambua akamuwashia moto akadondoka na pesa zikamwagika chini watu wakataharuki na manager akaduwaa maana si Mara moja hesabu zao za Benki zinagoma Ila Mungu aliwasaidia.
Unajua kila mtu huwa anaamini habari ambazo anafuatilia na ndipo ufahamu wake unagota, siku atakapoongeza maarifa ndani yako ndipo ataondoka kwenye hiyo comfort zone aliyokaa kwa muda mrefu. Endelea kufuatilia
Note: Not every problem you see is a spiritual problem but most are spiritual