Tuanze na jinsia yako wewe ni ME OR KEJamanii hivi mnaoangalia boli(mpira) mnapata ladha gani kila nikijtahidi naona sielewii yani ?
KETuanze na jinsia yako wewe ni ME OR KE
Done
Wewe unapenda kuangalia kitu gani?Jamanii hivi mnaoangalia boli(mpira) mnapata ladha gani kila nikijtahidi naona sielewii yani?
Yaani ile ladha unayoipata wewe wakati unaangalia kipindi unachokipenda sana kwenye tv, basi na sisi tunapata ladha hiyo hiyo.Jamanii hivi mnaoangalia boli(mpira) mnapata ladha gani kila nikijtahidi naona sielewii yani?
Hizi ni timu za wazee ...Kwawewe usiyejua mpira ili upate ladha chagua kwanza timu ya kushabikia
Timu pendwa duniani ni
Barcelona
Ac milan
Manchester united
Liverpool
Chagua hapo utajifunza taratibu
Huu ndio Mpira sasa..majibizano yake hapo ukiwa Bar,kibanda umiza.Nyumbani na Washikaji.ππππππHizi ni timu za wazee ...
Hakuna mtu mwenye miaka 26 kurudi chini akashabikia arsenal ,millan , wala Liverpool [emoji2][emoji2][emoji2]
Labda man UTD , Barcelona...
Mtu kama anamiaka 26 maana yake kazaliwa 1997 ,na kaanza kuaangalia mpira wa ulaya anamiaka 12+ ,,means 2009 Sasa mtu kama huyu atashabikia timu kama arsenal Kwa sababu zipi [emoji2][emoji2][emoji2],,maana Toka huo mwaka haijawahi kuwin PL ,au sijui Liverpool.....
Kumbe kuna timu za wazee na vijana. Haya embu tutajie timu za vijana ni zipi hizo?Hizi ni timu za wazee ...
Hakuna mtu mwenye miaka 26 kurudi chini akashabikia arsenal ,millan , wala Liverpool [emoji2][emoji2][emoji2]
Labda man UTD , Barcelona,Chelsea ,man city ,real Madrid ......
Mtu kama anamiaka 26 maana yake kazaliwa 1997 ,na kaanza kuaangalia mpira wa ulaya anamiaka 12+ ,,means 2009 Sasa mtu kama huyu atashabikia timu kama arsenal Kwa sababu zipi [emoji2][emoji2][emoji2],,maana Toka huo mwaka haijawahi kuwin PL ,au sijui Liverpool.....
Hizi ni timu za wazee ...

Upo powa mdogo anguAmeongopa kakaa
Mapenzi hayana substitute π€π€ππππNimejaribu kufananisha utamu wa kuangalia mpira wa miguu (football) na kufanya mapenzi...
Vyote navipenda, naendelea kutafakari bado sijapata jibu...
Mwenge natoka makumbushoUpo powa mdogo angu