Mnaoangalia mpira mnapata ladha gani?

Mnaoangalia mpira mnapata ladha gani?

Kwawewe usiyejua mpira ili upate ladha chagua kwanza timu ya kushabikia

Timu pendwa duniani ni

Barcelona
Ac milan
Manchester united
Liverpool

Chagua hapo utajifunza taratibu
 
Hizi ni timu za wazee ...

Hakuna mtu mwenye miaka 26 kurudi chini akashabikia arsenal ,millan , wala Liverpool [emoji2][emoji2][emoji2]
Labda man UTD , Barcelona,Chelsea ,man city ,real Madrid ......
Mtu kama anamiaka 26 maana yake kazaliwa 1997 ,na kaanza kuaangalia mpira wa ulaya anamiaka 12+ ,,means 2009 Sasa mtu kama huyu atashabikia timu kama arsenal Kwa sababu zipi [emoji2][emoji2][emoji2],,maana Toka huo mwaka haijawahi kuwin PL ,au sijui Liverpool.....
 
Labda man UTD , Barcelona...
Mtu kama anamiaka 26 maana yake kazaliwa 1997 ,na kaanza kuaangalia mpira wa ulaya anamiaka 12+ ,,means 2009 Sasa mtu kama huyu atashabikia timu kama arsenal Kwa sababu zipi [emoji2][emoji2][emoji2],,maana Toka huo mwaka haijawahi kuwin PL ,au sijui Liverpool.....
Huu ndio Mpira sasa..majibizano yake hapo ukiwa Bar,kibanda umiza.Nyumbani na Washikaji.😀😀😀😀😀😀
Leo kuna watu wanatembea vifua mbele kisa jana.
Kuna watu tunasubiri kesho Mtu flani atuaibishe 😀😀😀😀
 
Hizi ni timu za wazee ...

Hakuna mtu mwenye miaka 26 kurudi chini akashabikia arsenal ,millan , wala Liverpool [emoji2][emoji2][emoji2]
Labda man UTD , Barcelona,Chelsea ,man city ,real Madrid ......
Mtu kama anamiaka 26 maana yake kazaliwa 1997 ,na kaanza kuaangalia mpira wa ulaya anamiaka 12+ ,,means 2009 Sasa mtu kama huyu atashabikia timu kama arsenal Kwa sababu zipi [emoji2][emoji2][emoji2],,maana Toka huo mwaka haijawahi kuwin PL ,au sijui Liverpool.....
Kumbe kuna timu za wazee na vijana. Haya embu tutajie timu za vijana ni zipi hizo?
 
Mimi sijaorodhesha Arsenal apo mkubwa

Wakati mwingne mambo ya ushabiki wa timu watu hurithi

Ni kweli ni vigumu kupata shabiki wa timu km ac millan kwasababu ligi ya serie A imepoteza umaarufu tofauti na 2000s kurudi nyuma

Back
Top Bottom