Hata mimi nashangaa wanavyowasifia sana,ila indeed ni wakawaida tu urefu tu ndio wamebarikiwa.Nenda mkuu
1) Wamburu(Wairaqw)
2)Wanyaturu
3)Wanyisanzu
4)Wanyiramba
5)Warangi
6)Wataturu
7)Wakimbu
8)Wanyantuzu
9) Masai
10)Wachaga.
Utagundua hao Watutsi ni wa kawaida sana
Ila nichukue toto la kilindi niliweke hapo mtutsi haingii hata urobo.