Mnaobeza mafanikio ya Awamu ya Sita, zungukeni Tanzania muone mafanikio ya Serikali ya Rais Samia katika utekelezaji wa miundombinu

Chawa, sikiliza afya sio Majengo, ndo maana hata pale Muhimbili kuna majengo makubwa makubwa ila wenye pesa hawawezi enda tibiwa, Hivyo vituo vilivyo jaa panadol ndo unasema huduma za afya?
Huduma za afya zisha toka kwenye majengo,
Mkuu big up
 
Mpaka tuzunguke? Kwa nini tusiyaone hapo hapo tulipo!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kweli africa acha tuitwe shithole mtu anaambiwa mpaka azunguke ndo aone mkuu subiri tutakuja uza mpaka kucha
 
Mpaka tuzunguke? Kwa nini tusiyaone hapo hapo tulipo!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kweli africa acha tuitwe shithole mtu anaambiwa mpaka azunguke ndo aone mkuu subiri tutakuja uza mpaka kucha
Achana na Hawa wanaoshinda mitandaoni ,watakupotosha bure..

Hawa hata kura zikipigwa lazima waongoze kwa mafuriko humu mitandaoni ila huko kwa Wananchi hakuna hata anaewaelewa na wao huwa wako busy humu humu huwezi wakuta mtaani kupinga.
🤣🤣🤣🤣🤣 kweli mtoto wa maskini akipata tutaona mengi
 
Mama Samia ni kiongozi hasa , ni vile tu wanaomkosoa wanajisahaulisha anayoyafanya.Hajawekeza kwenye mapambio kama mtangulizi wake laiti angefanya hivyo basi angekuwa juu kwa kusemwa positively kuliko Rais aliyepita.
Kama hajawekeza kwenye mapambio kwahiyo hapa mnaimba chorus?
Na nyie mnaojiita nyuki ni wapiga miluzi au sio?
#tozo ziongezwe serikali ikusanye zaidi.
 
Tunashukuru sasa hivi pesa atleast inaonekana....

Watu wanasafiri....

Posho angalau zaanza onekana..
....
No ubabe...
Hakika na tozo ya wananchi kuifinance serikali kufidia mfumuko wa bei angalau tunaona kwakweli.
 
Mpaka tuzunguke? Kwa nini tusiyaone hapo hapo tulipo!
Lazima mzunguke mkikaa hapo hapo mnakuwa Kama vipofu hamuoni mama Nyuki na wanae wanavyolamba asali
 
Katiba tuliyonayo unaifahamu?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kweli africa acha tuitwe shithole mtu anaambiwa mpaka azunguke ndo aone mkuu subiri tutakuja uza mpaka kucha

🤣🤣🤣🤣🤣 kweli mtoto wa maskini akipata tutaona mengi
Kwa hiyo utayaona hewani? Taahira unajichekesha..

Kama ni tv Kila siku wanaonyesha sasa ukisema huoni si utakuwa unasumbuliwa na chuki binafsi tuu.
 
Tofautisha kukosoa na kubeza. Shuleni ulienda kusomea ujinga?
 
Kazi nzuri ya Rais Samia kuwainua vijana kiuchumi 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220821-183935.png
    176.7 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220821-183916.png
    137.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220821-183835.png
    125.9 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220821-183408.png
    132.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220821-183722.png
    40.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220820-205259.png
    47.4 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…