Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Toeni malalamiko panapohusika watumishi siyo kila sehemu mnalalama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawahusu Watumishi wa Serikali ya JMT.Mwenye kujua hiyo ess ni kitu gani
Na watafanya hivyo at. Maana opras ndio hakuna. Yaani mh rais ametaka namna bora ya kumpima .tumishi maana opras ilikuwa kikwazo. Sasa leo Waziri atahakikisha inatumika.Itakua upumbafu wa kiwango Cha lami,, ikiwa wata judge kupitia huo mfumo,,
Na Bado hapo stable,, huku supervisor wetu hawaoni sub ordinates wake ,,,Na watafanya hivyo at. Maana opras ndio hakuna. Yaani mh rais ametaka namna bora ya kumpima .tumishi maana opras ilikuwa kikwazo. Sasa leo Waziri atahakikisha inatumika.
Walipo jichanganya ni pale kwenye
SCORE PERCENTAGE
NA PERFORMANCE(ProgressPercentage)
Yaani wamejichangsnya kwa kiwango cha zege. Hata huyo developer wa mfumo ni kiazi.
Nifafanue kidogo. Ule mfumo ktk eneo la qualitative na quantitative indicator. Kuna percentage pale...kile ninkipimo cha ubora na kaiser. Kwanini kuanzia pale mfumo usikokotoe wenyewe baada ya mimi kujaza utekelezaji wangu ambapo ilitakiwa mfumo ugundue ubora na kiwango na sio kuja kujaza manually. Huu mfumo hauna tija ni kujaza ma essay tu mule.
I stand to be corrected kwa aliyenipata okay
100%Na watafanya hivyo at. Maana opras ndio hakuna. Yaani mh rais ametaka namna bora ya kumpima .tumishi maana opras ilikuwa kikwazo. Sasa leo Waziri atahakikisha inatumika.
Walipo jichanganya ni pale kwenye
SCORE PERCENTAGE
NA PERFORMANCE(ProgressPercentage)
Yaani wamejichangsnya kwa kiwango cha zege. Hata huyo developer wa mfumo ni kiazi.
Nifafanue kidogo. Ule mfumo ktk eneo la qualitative na quantitative indicator. Kuna percentage pale...kile ninkipimo cha ubora na kaiser. Kwanini kuanzia pale mfumo usikokotoe wenyewe baada ya mimi kujaza utekelezaji wangu ambapo ilitakiwa mfumo ugundue ubora na kiwango na sio kuja kujaza manually. Huu mfumo hauna tija ni kujaza ma essay tu mule.
I stand to be corrected kwa aliyenipata okay
Wetu hajibu meseji. HHR kaomba likizo.Hali ni tete HRs wametulia tu hawasemi chochote.
Mimi hapasomi kitu wanasema Kuna pending issuesNi kweli mimi mwenyewe nimehakikisha kuna rafiki yangu karekebishiwa
Vipi bado haisomi hadi Leo?Mimi hapasomi kitu wanasema Kuna pending issues
Acha utotoKama unaona hapo ulipo sio daraja unalotaka bc acha kazi
Hadi leoVipi bado haisomi hadi Leo?
Hiyo heri hiyo
HaisomiHadi leo