Mnaodai ESS imeshabadili vyeo mpo nchi gani?

Nimesahau password yangu nashindwa kuingia kwenye mfumo naomba msaada natatuaje changamoto hii?
 
Email yako ni ileile uliuowasilisha utumishi?
1. Mwambie mtu wa utumishi ataingia ataset password mpya.
2. Ikiwa una access na email yako andika pale forgot password then utaombwa uingize email📧 utaambiwa imetumwa kwenye email 📧 yako.
3. Ingia kwenye 📧 yako utakuta cheki namba na 📧 yako zimetumwa.
4. Log in upya badili password. Hakikisha unatumia password utakayokumbuka.

NB password unaweza ujaiweka hivi na ikakubaki vzr
Mf. Elin@2024en au 2024@Elin
 
Shukran sana kwa usaidizi wako ndg yangu acha nifuate utaratibu huu🙏
 
Back
Top Bottom