Mwl Athumani Ramadhani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,280
- 2,522
Lengo lako ni Nini!?Yesu amekufa miaka 2000 iliyopita ila bado biblia zinachapishwa sana ,na ndio kitabu kinaongoza kwa mauzo.
Shetani ana miska mingi sana ulimwenguni ila hatukomi kusoma habari zake .ungewajuaje hitler,stalin,musollin,iddi amini bila maandishi
Sema kweli lengo ni Nini!?