Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naaam ilikua ipite Buziku kwenda Biharamlo yeye akaipeleka bwanga chato kuwakomesha Wana Biharamlo wakati huo Kabuye ambaye ndo alikua mpinzani wake ashajipumzikia kitambo kiukweli jamaa alikua na visasiNaifahamu hiyo barabara ile ilikuwa ipite biharamulo,kufika bwanga ikakunja kulia
Sijaona bado alivyojiandaa kuwa Rais zaidi ya sarakasi za kujitafutia mahala salama kuwa Mbunge kwa kuwakwepa watu wa Kagera..Naweza sema ni mzee Ruksa, Mkapa na mama Samia ndio waliokota dodo chini ya mnazi, Nyerere, Kikwete na Magufuli waliutafuta urais kwa mbinu zote chafu na safi.
Leo tumuangalia Rais Magufuli, Pompeo wa bongo alivyousaka urais kwa mbinu za chini kwa chini.
Hapo mwanzo kulikuwa na jimbo moja likiitwa Biharamulo mkoani Kagera, John Pombe aligombea na mtu anaitwa Kabuye, yule mzee alimpa wakati mgumu sana Magufuli, wengine hawajui kuwa Magufuli aliwahi kuangukia pua kwenye ubunge alivyogombea kwa mara ya kwanza,
Watu wa Biharamulo ambao wengi ni kutoka kabila la Abasubi hawakumpenda John walimuita Mnyamahanga kwa maana ya wakuja.
John akaomba mizimu yake jimbo likagawanywa , Biharamulo Mashariki na Magharibi, akakimbilia Mashariki kwenye wanyamahanga wengi.
Huko akapambana kiume na wapinzani wake kibabe mpaka wengine kukimbia jimbo.
Mwaka 2006 akafanikisha kuundwa kwa wilaya ya Chato na jimbo la Chato.
Baadae akapambana Chato ikatoka Biharamulo Kagera ikaingia mkoa wa Geita mwaka 2012, huo ulikuwa ushindi mkubwa sana kwa Magufuli, unajua sababu.
Chato kuwa mkoa wa Kagera ingemuharibia sana kisiasa, watu hudhani Kagera yote ni ya Wahaya na Wahaya hawapendwi nchii hii kubali kataa, hawaaminiki kupewa madaraka makubwa.
Nikutajie sasa makabila yanayopatikana wilaya ya Chato. **** Warundi wengi sana kutoka Burundi kuna Waha, Wasumbwa, Wasubi, Wazinza, Warongo, Wahaya ,Wasukuma na watu wa Musoma. Kila mtu anaona hapa ni kwake na wazee wengi hapa wanaongea hizo lugha zote, ndivyo ilivokuwa kwa Magufuli, yeye aliamua kujiita Msukuma ila hakuwa Msukuma, ilikuwa ni sababu za kisiasa tu.
Mpaka wa Chato sasa ukaambaa kutoka Mganza, Bwanga, Buseresere, Buziku, Buzirayombo nk hizo kata mtu unaamua tu kujiita kabila lolote kati ya hayo makabila niliyotaja.
Huu ulikuwa ni mpango mkubwa sana ulihitaji mchakato wa miaka 20 akazaliwa John mpya kabila Msukuma ,kwenye kampeni ya urais 2020 akafungia kampeni Mwanza akahutubia kwa kisukuma akazoa kura za wasukuma wote hata wa Bariadi na Shinyanga. Ingekuwaje angehutubia kwa lugha ya Kirundi au Kizinza lugha alizozimudu vizuri, au angehutubia kwa kihaya, bila shaka asingepata hizo kura za kanda ya ziwa, kura za wasukuma ambao ni wengi .
Mbinu ya pili aliyotumia ni kutaka kuonekana ni msomi mzuri kwa kutafuta PhD ili kujenga trust kwa watu kuwa yupo vizuri kitaaluma. Magu hakuwa kilaza darasani ila hakuwa kipanga, ile PhD ina ukakasi jinsi ilivyopatikana lakini zote ilikuwa ni maadalizi ya kugombea Urais.
Mkakati wa tatu ilikuwa ni kujifanya yeye ni masikini kumbe alikuwani tajiri mkubwa sana huwezi kuwa wizara ya ujenzi ukafa masikini, Kilometa moja ya lami ni zaidi ya bilioni 1.5 amesimamia kilometa nyingi sana zilizojengwa chini yake. Hii mbinu hata Kikwete aliitumia sana kujifanya masikini kumbe ni mabilionea, ujue Watanzania wengi hawawapendi matajiri hudhani wao ndio sababu ya wao kuwa masikini.kwa hiyo aliigiza kuwa yeye ni mnyonge na masikini kumbe uongo lengo ni kuteka akili za masikini ambao ndio wengi
Itaendelea.....
Wewe ni mjinga hebu fuatilia jina la mama yake Magufuli ni upuuzi kujifanya unajua kitu kumbe hujuiNaweza sema ni mzee Ruksa, Mkapa na mama Samia ndio waliokota dodo chini ya mnazi, Nyerere, Kikwete na Magufuli waliutafuta urais kwa mbinu zote chafu na safi.

Asante mdukuzi kwa thread hii mujarabu kabisa. Hii ni uthibitisho wa USHETANI wa Mwendazake na kwa matendo haya lazima tumshukuru Mungu wetu kwa kuingilia kati na kumtoa Magufuli duniani. Kama aliweza kufanya matendo ya kuigawanya Biharamulo, kutengeneza wilaya ya Chato na kuihamishia Chato mkoa wa Geita basi angeweza kufanya uovu mwingi zaidi kuliko aliokwisha kuufanya.Naweza sema ni mzee Ruksa, Mkapa na mama Samia ndio waliokota dodo chini ya mnazi, Nyerere, Kikwete na Magufuli waliutafuta urais kwa mbinu zote chafu na safi.
Leo tumuangalia Rais Magufuli, Pompeo wa bongo alivyousaka urais kwa mbinu za chini kwa chini.
Hapo mwanzo kulikuwa na jimbo moja likiitwa Biharamulo mkoani Kagera, John Pombe aligombea na mtu anaitwa Kabuye, yule mzee alimpa wakati mgumu sana Magufuli, wengine hawajui kuwa Magufuli aliwahi kuangukia pua kwenye ubunge alivyogombea kwa mara ya kwanza,
Watu wa Biharamulo ambao wengi ni kutoka kabila la Abasubi hawakumpenda John walimuita Mnyamahanga kwa maana ya wakuja.
John akaomba mizimu yake jimbo likagawanywa , Biharamulo Mashariki na Magharibi, akakimbilia Mashariki kwenye wanyamahanga wengi.
Huko akapambana kiume na wapinzani wake kibabe mpaka wengine kukimbia jimbo.
Mwaka 2006 akafanikisha kuundwa kwa wilaya ya Chato na jimbo la Chato.
Baadae akapambana Chato ikatoka Biharamulo Kagera ikaingia mkoa wa Geita mwaka 2012, huo ulikuwa ushindi mkubwa sana kwa Magufuli, unajua sababu.
Chato kuwa mkoa wa Kagera ingemuharibia sana kisiasa, watu hudhani Kagera yote ni ya Wahaya na Wahaya hawapendwi nchii hii kubali kataa, hawaaminiki kupewa madaraka makubwa.
Nikutajie sasa makabila yanayopatikana wilaya ya Chato. **** Warundi wengi sana kutoka Burundi kuna Waha, Wasumbwa, Wasubi, Wazinza, Warongo, Wahaya ,Wasukuma na watu wa Musoma. Kila mtu anaona hapa ni kwake na wazee wengi hapa wanaongea hizo lugha zote, ndivyo ilivokuwa kwa Magufuli, yeye aliamua kujiita Msukuma ila hakuwa Msukuma, ilikuwa ni sababu za kisiasa tu.
Mpaka wa Chato sasa ukaambaa kutoka Mganza, Bwanga, Buseresere, Buziku, Buzirayombo nk hizo kata mtu unaamua tu kujiita kabila lolote kati ya hayo makabila niliyotaja.
Huu ulikuwa ni mpango mkubwa sana ulihitaji mchakato wa miaka 20 akazaliwa John mpya kabila Msukuma ,kwenye kampeni ya urais 2020 akafungia kampeni Mwanza akahutubia kwa kisukuma akazoa kura za wasukuma wote hata wa Bariadi na Shinyanga. Ingekuwaje angehutubia kwa lugha ya Kirundi au Kizinza lugha alizozimudu vizuri, au angehutubia kwa kihaya, bila shaka asingepata hizo kura za kanda ya ziwa, kura za wasukuma ambao ni wengi .
Mbinu ya pili aliyotumia ni kutaka kuonekana ni msomi mzuri kwa kutafuta PhD ili kujenga trust kwa watu kuwa yupo vizuri kitaaluma. Magu hakuwa kilaza darasani ila hakuwa kipanga, ile PhD ina ukakasi jinsi ilivyopatikana lakini zote ilikuwa ni maadalizi ya kugombea Urais.
Mkakati wa tatu ilikuwa ni kujifanya yeye ni masikini kumbe alikuwani tajiri mkubwa sana huwezi kuwa wizara ya ujenzi ukafa masikini, Kilometa moja ya lami ni zaidi ya bilioni 1.5 amesimamia kilometa nyingi sana zilizojengwa chini yake. Hii mbinu hata Kikwete aliitumia sana kujifanya masikini kumbe ni mabilionea, ujue Watanzania wengi hawawapendi matajiri hudhani wao ndio sababu ya wao kuwa masikini.kwa hiyo aliigiza kuwa yeye ni mnyonge na masikini kumbe uongo lengo ni kuteka akili za masikini ambao ndio wengi
Itaendelea.....
Bila Mungu kuingilia kati tungekomaAsante mdukuzi kwa thread hii mujarabu kabisa. Hii ni uthibitisho wa USHETANI wa Mwendazake na kwa matendo haya lazima tumshukuru Mungu wetu kwa kuingilia kati na kumtoa Magufuli duniani. Kama aliweza kufanya matendo ya kuigawanya Biharamulo, kutengeneza wilaya ya Chato na kuihamishia Chato mkoa wa Geita basi angeweza kufanya uovu mwingi zaidi kuliko aliokwisha kuufanya.
Miaka 5 tu tumeiona chuki ya Magufuli dhidi ya watu wa Kagera na Kilimanjaro, tumeona chuki dhidi ya vyama vya upinzani, chuki dhidi ya wafanyakazi, chuki dhidi ya vyombo vya habari na chuki dhidi ya matajiri. Kweli huyu Magufuli mahali anapostahili kuwapo ni Jehanam tu aungue na moto.
Uwezo wa kufikiri mdogo Sana ungejiuliza dunia ina umri gani na unaona nini usingekuwa Una komaa kushangilia kifo cha MagufuliBila Mungu kuingilia kati tungekoma
Hapa mkuu umechemka, watu wanaiba kura, watu wanapindua nakufanya kila dhulma ili wawe viongozi, je unataka kusema huo nao ni uamuzi wa (Mungu/yesu)Uongozi ni kalama na kipawa ambacho super natural power decided (Mungu/Yesu) huamua nabi apewe nani asipewe.
Wewe! Tusipangiane cha kuandika hapa, kunasheria yoyote iliovunjwa, hayo ya maji na umeme andika wewe sisi wengine tuna enjoy kusoma vituko vya mnyapara. In Kingunge voiceAiseh!sasa huyo jamaa Ndio TAYARI kaenda KWA Baba mwenyezi!sasa kwanini kumuandika!?
Kha! Nani kasema, kama Pompeo nae amepumzika basi kuanzia leo seindi Kanisani.kazi ipo, uko biz na mtu ameshapumzika zake huko
Historia lazima iandikwe, wewe huwezi kuwa historia ya nchi hii. Watu wengi maarufu kama hayati huwa fundisho kubwa kwa watu wake. Taarifa zake na lichokifanya ni fundisho ua tahadhari kwa nchi.Aiseh!sasa huyo jamaa Ndio TAYARI kaenda KWA Baba mwenyezi!sasa kwanini kumuandika!?
Rudi andika kuhusu mafanikio ya umeme na maji KWA awamu ya sita!!
Jinsi awamu hii inavopambana na UFISADI na UBADHIRIFU!
Acha kuandika marehemu andika waliopo sasa
Niandike HATA Mimi nilie hai jinsi ninavoweza kuivusha nchi nikishika hatamu!!
Miaka 7 iliyopita Filipo Mpango hakuwa na mpango wa kugombea hata udiwani; leo ni makamu wa rais.We lala usingizi sema Mungu anapanga,fortune goes to the brave ones
Omba Mungu huku ukichukua hatua utafanikiwa.
Baada ya kuonja asali akagombea ubunge kwao kigoma si ndio,alitake action,wengine action zao ni chini kwa chini hazionekani kwa machoMiaka 7 iliyopita Filipo Mpango hakuwa na mpango wa kugombea hata udiwani; leo ni makamu wa rais.