Mnaodhani Hayati Magufuli aliokota Dodo chini ya mnazi, mnajidanganya alijiandaa kuwa Rais miaka 20 kabla

Kumbuka hata Ile barabara ya mwanza geita mpaka bwanga ilikua ipite Buziku kwenda Biharamlo yeye akaipeleka bwanga chato Ili kuwakomoa
Naifahamu hiyo barabara ile ilikuwa ipite biharamulo,kufika bwanga ikakunja kulia
 
Naifahamu hiyo barabara ile ilikuwa ipite biharamulo,kufika bwanga ikakunja kulia
Naaam ilikua ipite Buziku kwenda Biharamlo yeye akaipeleka bwanga chato kuwakomesha Wana Biharamlo wakati huo Kabuye ambaye ndo alikua mpinzani wake ashajipumzikia kitambo kiukweli jamaa alikua na visasi
 
Sijaona bado alivyojiandaa kuwa Rais zaidi ya sarakasi za kujitafutia mahala salama kuwa Mbunge kwa kuwakwepa watu wa Kagera..

Mwisho Ni Wale wapumbavu manyumbu walioitwa wanyonge ndio waliamini Mwendazake Ni mwenzio kumbe ni jizi na tapeli Kama wengine sifa za madikteta.

Aliokota dodo la Makundi yaliyohasimiana.
 
Wewe ni mjinga hebu fuatilia jina la mama yake Magufuli ni upuuzi kujifanya unajua kitu kumbe hujui
 
Asante mdukuzi kwa thread hii mujarabu kabisa. Hii ni uthibitisho wa USHETANI wa Mwendazake na kwa matendo haya lazima tumshukuru Mungu wetu kwa kuingilia kati na kumtoa Magufuli duniani. Kama aliweza kufanya matendo ya kuigawanya Biharamulo, kutengeneza wilaya ya Chato na kuihamishia Chato mkoa wa Geita basi angeweza kufanya uovu mwingi zaidi kuliko aliokwisha kuufanya.

Miaka 5 tu tumeiona chuki ya Magufuli dhidi ya watu wa Kagera na Kilimanjaro, tumeona chuki dhidi ya vyama vya upinzani, chuki dhidi ya wafanyakazi, chuki dhidi ya vyombo vya habari na chuki dhidi ya matajiri. Kweli huyu Magufuli mahali anapostahili kuwapo ni Jehanam tu aungue na moto.
 
Bila Mungu kuingilia kati tungekoma
 
Uongozi ni kalama na kipawa ambacho super natural power decided (Mungu/Yesu) huamua nabi apewe nani asipewe.
Hapa mkuu umechemka, watu wanaiba kura, watu wanapindua nakufanya kila dhulma ili wawe viongozi, je unataka kusema huo nao ni uamuzi wa (Mungu/yesu)
 
Uwezo wa kufikiri mdogo Sana ungejiuliza dunia ina umri gani na unaona nini usingekuwa Una komaa kushangilia kifo cha Magufuli
Umri wa dunia unahusikaje na ukatili wa mtu
 
Aiseh!sasa huyo jamaa Ndio TAYARI kaenda KWA Baba mwenyezi!sasa kwanini kumuandika!?
Wewe! Tusipangiane cha kuandika hapa, kunasheria yoyote iliovunjwa, hayo ya maji na umeme andika wewe sisi wengine tuna enjoy kusoma vituko vya mnyapara. In Kingunge voice
 
Historia lazima iandikwe, wewe huwezi kuwa historia ya nchi hii. Watu wengi maarufu kama hayati huwa fundisho kubwa kwa watu wake. Taarifa zake na lichokifanya ni fundisho ua tahadhari kwa nchi.
 
We lala usingizi sema Mungu anapanga,fortune goes to the brave ones
Omba Mungu huku ukichukua hatua utafanikiwa.
Miaka 7 iliyopita Filipo Mpango hakuwa na mpango wa kugombea hata udiwani; leo ni makamu wa rais.
 
Miaka 7 iliyopita Filipo Mpango hakuwa na mpango wa kugombea hata udiwani; leo ni makamu wa rais.
Baada ya kuonja asali akagombea ubunge kwao kigoma si ndio,alitake action,wengine action zao ni chini kwa chini hazionekani kwa macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…