Sitakuumiza Kamwe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 466
- 1,457
๐๐๐๐๐๐๐
Tutashinda tu!
Mungu na Awatangulie!Tutashinda tu!
Waungane basi mbona wanachelewa?Wale vijana wa chini wote wako pamoja na Wananchi, wanahitaji mtu wa kuwaunganisha tu
Mama akiamua kufanya kitu huwa hajifichi! I like her courage and openness!Kwa hiyo mama kaweka maustaadhi jeshini
..kuwaunganisha ndio nini..acha kulemaza akili bwn, hao ni watoto..sekondari vijana wa fomu 2 wanaweza kustage mgomo..watu wazima wanashindwa nini, nani akuunganishe..unadhani unahitaji kuunganishwa kufanya kila jambo..? ujinga huo!Wale vijana wa chini wote wako pamoja na Wananchi, wanahitaji mtu wa kuwaunganisha tu
Mhhh!..kuwaunganisha ndio nini..acha kulemaza akili bwn, hao ni watoto..sekondari vijana wa fomu 2 wanaweza kustage mgomo..watu wazima wanashindwa nini, nani akuunganishe..unadhani unahitaji kuunganishwa kufanya kila jambo..? ujinga huo!
Wapuuzi tu hao, kina traore waliunganishwa na nani?Wale vijana wa chini wote wako pamoja na Wananchi, wanahitaji mtu wa kuwaunganisha tu
Uzi unaweza kuishia hapa.Bado mimi sioni kama uwepo wa hao wavaa kobazi tena wazanzibar hapo juu kama kikwazo kikuu cha kufanya mapinduzi.
Mapinduzi yanaweza yakafanywa na mid-ranked officer na yakawa successful na hasa ukizingatia atapewa support kubwa na wanainchi.
-Samuel Doe wakati anaipindua serikali ya Willium Tobert kule Liberia alikuwa ni master sergent tu.
-Valentine Strasser wakati anaipindua serikali ya dictator Joseph Momah kule Sierra Leone alikuwa ni Captain tu tena kijana wa miaka 25, na huyu alitafuta mpaka nguvu kutoka nje hili kukabiliana na majenerali waliokuwa wanamuunga mkono Momah.
Mifano ipo mingi sana Ibrahim Traore huyo hapo.
Kinachokosekana kwa hawa wapasua matofali wa Tanzagiza ni ujasiri na maarifa tu basi.
Hao watu saba waliopo huko juu na hivyo vyeo vyao vya kuhongwa hawawezi kuwadhibiti wanajeshi 41,000 kama wakiamua kuliokoa taifa hili kutoka kwenye mikono ya dikteta samuya anatoa roho za watu wasio na hatia.
Tesha alikosea timing wahuni wakamuwahi, yule ilipaswa aje tarehe 29 kama surprise.Uzi unaweza kuishia hapa.
Cpt. Tesha sijui aliishia wapi!
ukiona hierarchy imekaa hivyo tambua kuna shida kubwa kwenye chain of command na kumejengwa mazingira ya kutia hofu na woga kwa hao wa chini..hii inajionyesha kwa kilichotokea 29/10 haiwezekani wanajeshi waliokuwa deployed kuwa wachache namna hiyo, lkn pia ku-act km observers tu tena bila silaha..hawa 7 ndio wanatoa maelekezo..!Bado mimi sioni kama uwepo wa hao wavaa kobazi tena wazanzibar hapo juu kama kikwazo kikuu cha kufanya mapinduzi.