PostGE2025 Mnaodhani Jeshi litaungana na Wananchi katika utawala huu mnajidanganya. Hawafundishwi hivyo!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwani wao ni robot kwamba wanakuwa programmed kutii kila kitu bila kushirikisha ubongo?

Hivi kwa kinachoendelea saizi kwa mtu timamu, unahitaji ufundishwe kujua kuna dhulma ya wazi na ukatili kwa raia?
Ulipita JKT angalau? Jeshini unatii. Ukikataa huo ni uasi and you can be court marshalled! Hata Cpt. Tesha analijua hili ndo maana hajulikani alipo!
 
Acha wafanye doria angalau. Kazi kufyeka na kufagia huko makambini halafu jioni kugombania machangudoa baa. Kunenepeana tu halafu wakipelekwa DRC pale wanaishia kupelekewa moto na kuaibishwa!
 
Ulipita JKT angalau? Jeshini unatii. Ukikataa huo ni uasi and you can be court marshalled! Hata Cpt. Tesha analijua hili ndo maana hajulikani alipo!
Utiifu haupaswi kwenda kinyume na kiapo anacho kisimamia.

Kiapo cha kwanza cha mwanajeshi ni kulinda usalama wa raia na mipaka yake.

Sasa raia wanauliwa, wanawezaje kunyamaza kwa dhana ya kwamba ni utiifu wa amri kutoka kwa wakubwa zao?

Utiifu haupaswi kuwa ni uovu, utiifu ni jambo jema na ndio maana majeshi yanayojitambua tunayaona yakipindua viongozi wakuu wa nchi baada ya kuona viongozi hao hawafuati misingi ya haki.

Majeshi hayo yangekuwa ni majeshi nyumbu yanayopelekeshwa kama robot yasingeweza kupinga amri ya kushuti raia.
 
Exactly πŸ’―
Eti utii sijui ukiasi sijui nn hakuna lolote
Sshv watz uzuri hawaliamini tena
 
 
Hebu Allah na Akasikilize Dua zenu Aaamin πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
JESHI LA TANZANIA SIO RAHISI KUUNGANA NA WANANCHI, KAMA MAANDAMANO YATAKUWA YA AMANI ALAFU NON STOP WANAWEZA KUJA HAPO BAADAE ILA PIA WATAKUWA WA MCHONGO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…