MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
CCM wanajua kuwa Wakisema Jambo Wao piga Ua litasambaa ( trend ) na Watanzania wote kama Kawaida yet tutalishupalia na haraka mno Kusahau mengine ya Msingi ya Kujadili kuhusu Tanzania yetu.
Wenye Akili tunajua kuwa Mzee Yusuf Makamba kwa Kujulikana Kwake kuwa ni Mropokaji, Mpenda Sifa na Mkurupukaji basi CCM (kupitia Kitengo chzke Maalum chenye Wastaafu wengi kutoka TISS ) wangemuandaa Kimkakati kuja kufanya alichokifanya huku Media iliyowekwa Mfukoni mwa CCM na Serikali ikielekezwa cha Kuandika na kusukuma Agenda ya Mkutano Mkuu na tusahau ya Msingi.
Spinning iliyofanyika si ya Kitoto na imeshafanikiwa kwa 85% Masikioni na Akilini mwa Watanzania kwani sasa hatujadili tena Mgawo wa Umeme, Tozo, Gharama za Maisha Kupanda, Elimu Mbovu, Rushwa ( Ufisadi ) na Uonevu ( Unyanyasaji ) wa kila namna.
Mzee Makamba anaweza kuona/ kujiona kuwa kapatia, Kumfurahisha Mwenyekiti wake Taifa ( CCM ) hivyo Kumsaidia Mwanae asitumbuliwe au hata akitumbuliwa apelekwe Kwingine ila kwa wenye Akili Kubwa tunajua amejiabisha, amekiaibisha Chama (CCM) na ameonyesha kuwa huenda CCM ya sasa ikawa na Majuha ( Fools ) wengi kulko ile CCM ya Nyerere, Mwinyi na Mkapa.