Mnaodhani kuwa yote aliyosema Mzee Makamba hakuandaliwa poleni sana

Seriously yani morning nashika nakuta pumbu moja dah nyingine imeenda wapi? Nijawa najiuliza nilipanik. Naisaka wapi. Nikajisemea tu nimekwisha. Ila kwenye last attempt ya kuisaka kitu kimesogea karibu natigo. Dah nilifurahije nikasema tu yeees gengtly nikakisogeza kimiani nakuikuambia tulia
Nasikia vifurushi vingi vimepanda bei, mwenzetu ulivyoenda huko tigo vifurushi bei gani?
 
Hawa wanaojiita wana akili wanajipotosha Sana hasa wanapojiamisha kwamba wazo binafsi ni mawazo ya WaTz wote!
 
kila siku wanakuja na jambo jipya ili tusahau upuuzi wao,umeme sasa imeshazoeleka kama vita ya urusi na ukraine
 
CCM wanajua kuwa Wakisema Jambo Wao piga Ua litasambaa ( trend ) na Watanzania wote kama Kawaida yet tutalishupalia na haraka mno Kusahau mengine ya Msingi ya Kujadili kuhusu Tanzania yetu.

Wenye Akili tunajua kuwa Mzee Yusuf Makamba kwa Kujulikana Kwake kuwa ni Mropokaji, Mpenda Sifa na Mkurupukaji basi CCM (kupitia Kitengo chzke Maalum chenye Wastaafu wengi kutoka TISS ) wangemuandaa Kimkakati kuja kufanya alichokifanya huku Media iliyowekwa Mfukoni mwa CCM na Serikali ikielekezwa cha Kuandika na kusukuma Agenda ya Mkutano Mkuu na tusahau ya Msingi.

Spinning iliyofanyika si ya Kitoto na imeshafanikiwa kwa 85% Masikioni na Akilini mwa Watanzania kwani sasa hatujadili tena Mgawo wa Umeme, Tozo, Gharama za Maisha Kupanda, Elimu Mbovu, Rushwa ( Ufisadi ) na Uonevu ( Unyanyasaji ) wa kila namna.

Mzee Makamba anaweza kuona/ kujiona kuwa kapatia, Kumfurahisha Mwenyekiti wake Taifa ( CCM ) hivyo Kumsaidia Mwanae asitumbuliwe au hata akitumbuliwa apelekwe Kwingine ila kwa wenye Akili Kubwa tunajua amejiabisha, amekiaibisha Chama (CCM) na ameonyesha kuwa huenda CCM ya sasa ikawa na Majuha ( Fools ) wengi kulko ile CCM ya Nyerere, Mwinyi na Mkapa.
Nilikua nahis ata uyu muandish Ni anakitu cha ziada so walipanga wakafanya Na wamefanikiwa
 
Hivi na nyie imeshawahi kuwatokea? Yani asubuhi nilivyoamka kushika nakuta pumbu moja nyingine imepotea nilipanik balaa moyo ukawa unaenda mbio.

Nikaisaka kumbe imeenda ikajificha kwa nyuma karibu na tigo. Nikaisogeza hadi ikatulia nakurudi kimiani. Sasa cha ajab sasa hivi inaniwasha balaa. Hii inaashiria nini pumbu kuwasha namna hii?

Au nataka kupiga na kukamata hela ndefu nini?
Hii nayo ni "spinning".
 
CCM wanajua kuwa Wakisema Jambo Wao piga Ua litasambaa ( trend ) na Watanzania wote kama Kawaida yet tutalishupalia na haraka mno Kusahau mengine ya Msingi ya Kujadili kuhusu Tanzania yetu.

Wenye Akili tunajua kuwa Mzee Yusuf Makamba kwa Kujulikana Kwake kuwa ni Mropokaji, Mpenda Sifa na Mkurupukaji basi CCM (kupitia Kitengo chzke Maalum chenye Wastaafu wengi kutoka TISS ) wangemuandaa Kimkakati kuja kufanya alichokifanya huku Media iliyowekwa Mfukoni mwa CCM na Serikali ikielekezwa cha Kuandika na kusukuma Agenda ya Mkutano Mkuu na tusahau ya Msingi.

Spinning iliyofanyika si ya Kitoto na imeshafanikiwa kwa 85% Masikioni na Akilini mwa Watanzania kwani sasa hatujadili tena Mgawo wa Umeme, Tozo, Gharama za Maisha Kupanda, Elimu Mbovu, Rushwa ( Ufisadi ) na Uonevu ( Unyanyasaji ) wa kila namna.

Mzee Makamba anaweza kuona/ kujiona kuwa kapatia, Kumfurahisha Mwenyekiti wake Taifa ( CCM ) hivyo Kumsaidia Mwanae asitumbuliwe au hata akitumbuliwa apelekwe Kwingine ila kwa wenye Akili Kubwa tunajua amejiabisha, amekiaibisha Chama (CCM) na ameonyesha kuwa huenda CCM ya sasa ikawa na Majuha ( Fools ) wengi kulko ile CCM ya Nyerere, Mwinyi na Mkapa.
Mkuu anslysis ni misplaced.
Sasa kama aliandaliwa kulikuwa na haja gani Mama Samia kunsahihisha "mzee asiye na busara" Makamba Snr.
 
Back
Top Bottom