Mnaodhani kuwa yote aliyosema Mzee Makamba hakuandaliwa poleni sana

Nasikia vifurushi vingi vimepanda bei, mwenzetu ulivyoenda huko tigo vifurushi bei gani?
 
Hawa wanaojiita wana akili wanajipotosha Sana hasa wanapojiamisha kwamba wazo binafsi ni mawazo ya WaTz wote!
 
kila siku wanakuja na jambo jipya ili tusahau upuuzi wao,umeme sasa imeshazoeleka kama vita ya urusi na ukraine
 
Nilikua nahis ata uyu muandish Ni anakitu cha ziada so walipanga wakafanya Na wamefanikiwa
 
Hii nayo ni "spinning".
 
Mkuu anslysis ni misplaced.
Sasa kama aliandaliwa kulikuwa na haja gani Mama Samia kunsahihisha "mzee asiye na busara" Makamba Snr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…