The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Umeandika ujinga mwiiingi kwa msingi wa Chuki.Sio kazi ya Rais kukukomboa wewe hapo,usipofanya kazi kwa kujifunza utaishia kulalamika kutwa kucha unless utuambie Rais aliyekukomboa wewe na kulikomboa Taifa Ni yupi?
Rais anatimiza majukumu yake ya kikatiba ya kuwezesha shughuli zako kuwa na ahueni,usipochungulia fursa itakukata..
Mojawapo ya Hilo jukumu Ni Hili la kuboresha huduma.za Afya Nchi nzima.mfani Sasa Hospital zote za Mikoa Zina CT Scan toka Uhuru haijawahi tokea 👇

Mnaodhani ipo siku rais Samia ataleta maendeleo au kulikomboa hili taifa mtasubiri sana
Hata kama atashinda hadi 2030 urais bado hamna jipya atakalofanya nakuambia mtakuja kuukumbuka huu uzi amini nawaambia
Hakuna atakachokifanya nawaambia na hakuna atakachokifanya cha maana
Kwanza hana dhamira....pili sio mtendaji....Tatu hana team work ya kazi ni watu wa kujipimia, kusifia tu na cheap politics ndo waliomzunguka
Hana support ya watanzania wa kawaida, leo hii wanamkubali nchi nzima hata asilimia 4% hawafiki ukiachana na viongozi na makada ambao moyoni mwao ni mbali lakini wanajua wanamsifia tu siku ziende
Hakuna cha maana atakachokifanya huyu mheshimiwa zaidi tujiandae tu na misukosuko ya kila aina...