ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ukweli au siyo?Kuna ukweli kwenye hoja yako lakini iliyojengwa kwenye msingi usio sahihi.
Kwa mfumo wa utawala uliopo sasa, hakuna mtu yeyote anayweza kuleta mabadiliko makubwa ya kimaendeleo kwa Tanzania.
Kiongozi pekee atakayeleta mabadiliko makubwa kwa Tanzania ni yule tu atakayeachana kabisa na mifumo ya sasa ya kiutawala, na kujenga mifumo mipya, kwa kuanzia na utengenezaji wa katiba mpya, mifumo mipya, halafu sheria mpya zitakazolinda hiyo katiba mpya na mifumo mipya.
Kumtegemea Rais Samia afanye maajabu chini ya mifumo hii mibaya ya utawala, itakuwa ni kumwonea. Sisi wananchi tulistahili kunyanyuka na kumwambia kuwa tunataka katiba mpya, mifumo mipya na sheria mpya za kusimamia mabadiliko.
Nchi nzima ni Samia kaweka CT scans
5.https://www.instagram.com/p/Cotn0MfD0_I/?igshid=YmMyMTA2M2Y=