Umeandika ujinga mwiiingi kwa msingi wa Chuki.Sio kazi ya Rais kukukomboa wewe hapo,usipofanya kazi kwa kujifunza utaishia kulalamika kutwa kucha unless utuambie Rais aliyekukomboa wewe na kulikomboa Taifa Ni yupi?
Your browser is not able to display this video.

Rais anatimiza majukumu yake ya kikatiba ya kuwezesha shughuli zako kuwa na ahueni,usipochungulia fursa itakukata..
Mojawapo ya Hilo jukumu Ni Hili la kuboresha huduma.za Afya Nchi nzima.mfani Sasa Hospital zote za Mikoa Zina CT Scan toka Uhuru haijawahi tokea 👇
Mnaodhani ipo siku rais Samia ataleta maendeleo au kulikomboa hili taifa mtasubiri sana
Hata kama atashinda hadi 2030 urais bado hamna jipya atakalofanya nakuambia mtakuja kuukumbuka huu uzi amini nawaambia
Hakuna atakachokifanya nawaambia na hakuna atakachokifanya cha maana
Kwanza hana dhamira....pili sio mtendaji....Tatu hana team work ya kazi ni watu wa kujipimia, kusifia tu na cheap politics ndo waliomzunguka
Hana support ya watanzania wa kawaida, leo hii wanamkubali nchi nzima hata asilimia 4% hawafiki ukiachana na viongozi na makada ambao moyoni mwao ni mbali lakini wanajua wanamsifia tu siku ziende
Hakuna cha maana atakachokifanya huyu mheshimiwa zaidi tujiandae tu na misukosuko ya kila aina...
Kuna ukweli kwenye hoja yako lakini iliyojengwa kwenye msingi usio sahihi.
Kwa mfumo wa utawala uliopo sasa, hakuna mtu yeyote anayweza kuleta mabadiliko makubwa ya kimaendeleo kwa Tanzania.
Kiongozi pekee atakayeleta mabadiliko makubwa kwa Tanzania ni yule tu atakayeachana kabisa na mifumo ya sasa ya kiutawala, na kujenga mifumo mipya, kwa kuanzia na utengenezaji wa katiba mpya, mifumo mipya, halafu sheria mpya zitakazolinda hiyo katiba mpya na mifumo mipya.
Kumtegemea Rais Samia afanye maajabu chini ya mifumo hii mibaya ya utawala, itakuwa ni kumwonea. Sisi wananchi tulistahili kunyanyuka na kumwambia kuwa tunataka katiba mpya, mifumo mipya na sheria mpya za kusimamia mabadiliko.
Mnaodhani ipo siku rais Samia ataleta maendeleo au kulikomboa hili taifa mtasubiri sana
Hata kama atashinda hadi 2030 urais bado hamna jipya atakalofanya nakuambia mtakuja kuukumbuka huu uzi amini nawaambia
Hakuna atakachokifanya nawaambia na hakuna atakachokifanya cha maana
Kwanza hana dhamira....pili sio mtendaji....Tatu hana team work ya kazi ni watu wa kujipimia, kusifia tu na cheap politics ndo waliomzunguka
Hana support ya watanzania wa kawaida, leo hii wanamkubali nchi nzima hata asilimia 4% hawafiki ukiachana na viongozi na makada ambao moyoni mwao ni mbali lakini wanajua wanamsifia tu siku ziende
Hakuna cha maana atakachokifanya huyu mheshimiwa zaidi tujiandae tu na misukosuko ya kila aina...
Mnaodhani ipo siku rais Samia ataleta maendeleo au kulikomboa hili taifa mtasubiri sana
Hata kama atashinda hadi 2030 urais bado hamna jipya atakalofanya nakuambia mtakuja kuukumbuka huu uzi amini nawaambia
Hakuna atakachokifanya nawaambia na hakuna atakachokifanya cha maana
Kwanza hana dhamira....pili sio mtendaji....Tatu hana team work ya kazi ni watu wa kujipimia, kusifia tu na cheap politics ndo waliomzunguka
Hana support ya watanzania wa kawaida, leo hii wanamkubali nchi nzima hata asilimia 4% hawafiki ukiachana na viongozi na makada ambao moyoni mwao ni mbali lakini wanajua wanamsifia tu siku ziende
Hakuna cha maana atakachokifanya huyu mheshimiwa zaidi tujiandae tu na misukosuko ya kila aina...
Tatizo la madarasa nchi hii halitaisha bila kudhibiti kasi ya watu kuzaliana. Wastani wa mwanamke wa Kitanzania kuzaa ni watoto 5 wakati wastani wa dunia ni watoto 2.
Anatatua tatizo la madarasa na kila mtoto tz atafika sekondari,anamalizia bwawa rufiji,anajenga sgr,anaajiri,vituo vya afya/hospitali, barabara,ruzuku lukuki kilimo kimnyanyua mkulima,kinyerezi anasonga nayo..we unasema hatofanywa/hafanyi kitu,unatembea kichwa chini miguu juu!?
hueleweki akomboe nini, hii nchi imeshapata uhuru miaka 61 iliyopita. Maendeleo unamaanisha nini, au hujui maana ya maendeleo? Aje akujengee? We una lako jambo. Huoni miradi iliyosambaa nchi nzima? Km umetumwa waambie wameshindwa na walegee!
Tunataka maji na umeme wa uhakika.
Tunataka barabara za lami vijijini na mitaani.
Tunataka Hospital bora zisizo na misongamano na zenye mazingira mazuri.
Anatatua tatizo la madarasa na kila mtoto tz atafika sekondari,anamalizia bwawa rufiji,anajenga sgr,anaajiri,vituo vya afya/hospitali, barabara,ruzuku lukuki kilimo kimnyanyua mkulima,kinyerezi anasonga nayo..we unasema hatofanywa/hafanyi kitu,unatembea kichwa chini miguu juu!?
Anatatua tatizo la madarasa na kila mtoto tz atafika sekondari,anamalizia bwawa rufiji,anajenga sgr,anaajiri,vituo vya afya/hospitali, barabara,ruzuku lukuki kilimo kimnyanyua mkulima,kinyerezi anasonga nayo..we unasema hatofanywa/hafanyi kitu,unatembea kichwa chini miguu juu!?
Tunataka maji na umeme wa uhakika.
Tunataka barabara za lami vijijini na mitaani.
Tunataka Hospital bora zisizo na misongamano na zenye mazingira mazuri.
Tatizo la madarasa nchi hii halitaisha bila kudhibiti kasi ya watu kuzaliana. Wastani wa mwanamke wa Kitanzania kuzaa ni watoto 5 wakati wastani wa dunia ni watoto 2.
Mnaodhani ipo siku rais Samia ataleta maendeleo au kulikomboa hili taifa mtasubiri sana
Hata kama atashinda hadi 2030 urais bado hamna jipya atakalofanya nakuambia mtakuja kuukumbuka huu uzi amini nawaambia
Hakuna atakachokifanya nawaambia na hakuna atakachokifanya cha maana
Kwanza hana dhamira....pili sio mtendaji....Tatu hana team work ya kazi ni watu wa kujipimia, kusifia tu na cheap politics ndo waliomzunguka
Hana support ya watanzania wa kawaida, leo hii wanamkubali nchi nzima hata asilimia 4% hawafiki ukiachana na viongozi na makada ambao moyoni mwao ni mbali lakini wanajua wanamsifia tu siku ziende
Hakuna cha maana atakachokifanya huyu mheshimiwa zaidi tujiandae tu na misukosuko ya kila aina...
Yote hayo ni kosa la jk kutupendekezea makamu kilaza. Jpm angekua na mtu wake aliyemuamini Hussein Mwinyi saa hizi tusingekua kwenye mashaka.
Samia hana vision sio mjamaa sio mwanamapinduzi mentality yake ni utegemezi kuombaomba na kukopa.
Akili yake imejaa ubinafsi na ndio maana hawezi kutumia sheria zilizopo kubana wafanya biashara walipe kodi. Eti hataki kodi za nguvu wakati ni sheria imewekwa kubana wakwepa kodi. Na eti hataka nidhamu ya woga utafikiri nidhamu ya woga haina faida. Yote ni kuwapa washikaji wake green light wapige hela ya umma.
Nilipobaki hoi ni pale aliporuhusu vigogo wale kufuatana na urefu wa kamba zao.
- kwamba hana dhamira uko sahihi -100% ingawa mwanzoni kabisa wakati anapokea kijiti alikuwa nadhamira ila sasa ilipo potelea sijui.
-Kwenye hilo la kuto kuwa na team work uko sahihi 100% hajui nani rafiki na nani adui na sidhani kama anatahadhari nao
-Hilo la kwamba Sio mtendaji uko sahihi 100%
-kuto kukubalika uko sahihi kabisa 100% na kundi kubwa lina mkubali nilile linalo nufaika kutokana na uwepo wake madarakani.