Mnaodhani Rais Samia ataikomboa na kuleta maendeleo basi mnajidanganya mtakuja kuniprove siku moja

Ukweli au siyo?

Nchi nzima ni Samia kaweka CT scans

5.https://www.instagram.com/p/Cotn0MfD0_I/?igshid=YmMyMTA2M2Y=
 
Kweli tupu sahivi anaenda mwaka 3 hajaanzisha mradi wowote wa maana zaidi ya kwenda kufungua miradi ya marehemu
Uko sahihi hajaanzisha mradi wowote miradi kama hii mama Yako kaanzisha.

7.https://www.instagram.com/p/Cooit9ljgaT/?igshid=YmMyMTA2M2Y=
 
Vitendo vinaongea
 
Watu mnataka tujaze Seva Bure
Ujenzi tuu wa viwanja vya ndege vinavyoendelea ni

Kigoma
Songea
Iringa
Mwanza
Dodoma
Arusha
Moshi

 
Miradi ya ujenzi wa Barabara za lami inayoendelea ni Mingi kiasi kwamba kuiweka Kila Moja tutajaza Seva.

Mbeya
Kigoma
Katavi
Njombe
Kagera
Dodoma
Rukwa
Songwe
Singida
Mtwara
Mara

 
ChoiceVariable jamaa,hayo ni madudu gani unaweka!!?? Naona links tu ambazo zinanipeleka kwenye madudu nisiyoyajua.

Kwa nini usiweke vitu vinavyoonekana badala ya links!!???
 
Bado uzi wako uko valid?
 
Mama yupo vizuri sana,amejenga madarasa mengi sana na yakisasa,miundombinu kama barabara amejitahidi sana,mfano kuna barabara jimboni kwetu tangu enzi za mkapa niahadi tu ila mama katukumbuka barabara inapigwa lami ,kuanzia mkomazi hadi same kupitia ndungu gonja kisiwani.Wakulima tumeuza tangawizi kwa bei nzuri sana kilo imefikq hadi 4000 ,hongera sana Rais Samia suluhu hassani
 
Hawa 96% wasiomkubali kwanini wazidiwe maamuzi na 4% ya wanaomkubali mpaka hiyo 2030? au ni ng'ombe? Maana siku zote kundi la ng'ombe wengi hupelekwa machinjioni na binadamu wachache.
usicheze na mamlaka mkuu, masikini ni wengi lakini siku zote hawanaga sauti ya kimaamuzi...
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…