Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Nawasalimu kwa jina la JMT kazi inaendelea.
Sina mengi ningependa tu kufahamu hawa wazee wetu Mzee Kabudi na Mzee Lukuvi majukumu yao mapya ya kuwa viranja wa mawaziri yameleta matokeo chanya? Na je ukitaka kuwapa ushirikiano ofisi zao ziko wapi za ukiranja?
Ni hayo tu.😄😄