Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Nadhani hakuwa certain kwenye mbio za uspika maana rumors zilishaanza kusambaa kwamba mmoja miongoni mwao alikuwa akiwania uspika. So ni kama aliamua kuzima ndoto hiyo pia. Maana ana uwezo wa kuwaondoa kwenye uwaziri, yes lakini hakuwa na uwezo wa moja kwa moja wa kuzuia yeyote kugombea uspika. Otherwise, tuvute subira labda ofisi zao ndio zinajengwa.Uoga wa maneno.
Ana mamlaka ya kutengua na kuteua anayemtaka Ila sababu ya uoga anaamua kusema uongo