Mnaoelewa majukumu mapya ya Lukuvi na Paramagamba Kabudi, tujulisheni ufanisi ukoje

Nawasalimu kwa jina la JMT kazi inaendelea.

Sina mengi ningependa tu kufahamu hawa wazee wetu Mzee Kabudi na Mzee Lukuvi majukumu yao mapya ya kuwa viranja wa mawaziri yameleta matokeo chanya? Na je ukitaka kuwapa ushirikiano ofisi zao ziko wapi za ukiranja?

Ni hayo tu.😄😄
Wametupwa Recycle Bin hawa.
 
Akufukuzaye hakwambii toka
 
Lukuvi kuondolewa ardhi na kisha mtoto wa mlamba asali kusogezwa jirani, tutegemee mbuga zetu,raslimali zetu zinazohusu ardhi kutokuwa salama kabisa.
 
Back
Top Bottom