Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Tupia picha wakinywa juice tuone mkuu. Kama hakuna basi wewe utakuwa na hitilafu upstairsHawana kazi nasikia wamepewa vijiofisi pale magogoni kuanzia asubuhi hadi jioni wanasoma magazeti na kunywa juice za miwa na tangawizi.
Prof wa Jalalani kaamua kususa ofisi kabisa.
Wapewe ofisi kweli kama akina nani? Hawa si ni wabunge tu. Ukiwa Mbunge (Legislative Organ) unaweza kuwa Serikalini (Executive) kama ni Waziri mwenye ministerial instrument, vinginevyo huwezi kuwa sehemu ya serikali na wakati huo huo ni mbunge! Huwezi kuwa kwenye Judiciary na wakati huo huo ukawa kwenye Executive ama Legislature. Hapa ndipo inakuja dhana ya separation of powers and checks and balance. Naamini ni Wabunge tu ambao waliwahi kuwa mawaziri kama Mh Kigwangala, Mh Chamuriho, Mh Kalemani, Mh Kamwelwe, Mh Mulugo, nk.Hawana kazi nasikia wamepewa vijiofisi pale magogoni kuanzia asubuhi hadi jioni wanasoma magazeti na kunywa juice za miwa na tangawizi.
Prof wa Jalalani kaamua kususa ofisi kabisa.
Na hapo ndipo nadhani kuna kitu hakiko sawa...ni vipi MBUNGE anaweza kufanya kazi serikalini ilhali si WAZIRI? Nadhani kuna mgogoro hapoWapewe ofisi kweli kama akina nani? Hawa si ni wabunge tu. Ukiwa Mbunge (Legislative Organ) unaweza kuwa Serikalini (Executive) kama ni Waziri mwenye ministerial instrument, vinginevyo huwezi kuwa sehemu ya serikali na wakati huo huo ni mbunge! Huwezi kuwa kwenye Judiciary na wakati huo huo ukawa kwenye Executive ama Legislature. Hapa ndipo inakuja dhana ya separation of powers and checks and balance. Naamini ni Wabunge tu ambao waliwahi kuwa mawaziri kama Mh Kigwangala, Mh Chamuriho, Mh Kalemani, Mh Kamwelwe, Mh Mulugo, nk.
Hakuna majukumu yoyote hapo, Katibu mkuu kiongozi ndio kiranja wa mawaziri.Nawasalimu kwa jina la JMT kazi inaendelea.
Sina mengi ningependa tu kufahamu hawa wazee wetu Mzee Kabudi na Mzee Lukuvi majukumu yao mapya ya kuwa viranja wa mawaziri yameleta matokeo chanya? Na je ukitaka kuwapa ushirikiano ofisi zao ziko wapi za ukiranja?
Ni hayo tu.ππ
So anafanya kazi gani sasa!!?Hawana kazi nasikia wamepewa vijiofisi pale Magogoni kuanzia asubuhi hadi jioni wanasoma magazeti na kunywa juice za miwa na tangawizi.
Prof wa Jalalani kaamua kususa ofisi kabisa.
Katiba yetu inasema Mawziri wote lazima wawe wabunge. Nadhani hii iliwekwa hivyo ili Serikali iwajibike Bungeni kwa kujibu maswali na kutoa ufafanuzi. Kenya kabla ya Katiba yao mpya ya 2010, walikuwa kama sisi ila wakafanya mabadiliko kwenye katiba na sasa Mawaziri (Cabinet Secretaries) siyo wabungek. Hili limewaletea tabu kidogo na kumekuwa na mapendekezo ya kutaka kurudisha utaratibu wa zamani ili Mawaziri wawe ni wabunge.Na hapo ndipo nadhani kuna kitu hakiko sawa...ni vipi MBUNGE anaweza kufanya kazi serikalini ilhali si WAZIRI? Nadhani kuna mgogoro hapo
Naskia wamewaongezea na juice ya tende kwenye list siku za hivi karibuni.Hawana kazi nasikia wamepewa vijiofisi pale Magogoni kuanzia asubuhi hadi jioni wanasoma magazeti na kunywa juice za miwa na tangawizi.
Prof wa Jalalani kaamua kususa ofisi kabisa.
Uoga wa nini?Mama alisema uongo, na ni uoga tu. Hao walitolewa kwenye baraza na Wala sio Jambo la kushangaza kuwatoa ila sababu ya uoga akasema vile
Uoga wa maneno.Uoga wa nini?
Nadhani ibaki tu kwamba Rais anaweza kumteuwa mtu yeyote bila kuwa mbunge lakini akishateuliwa anakuwa ni sehemu ya bunge na akiondolewa anapoteza hadhi ya ubunge immediately.Katiba yetu inasema Mawziri wote lazima wawe wabunge. Nadhani hii iliwekwa hivyo ili Serikali iwajibike Bungeni kwa kujibu maswali na kutoa ufafanuzi. Kenya kabla ya Katiba yao mpya ya 2010, walikuwa kama sisi ila wakafanya mabadiliko kwenye katiba na sasa Mawaziri (Cabinet Secretaries) siyo wabungek. Hili limewaletea tabu kidogo na kumekuwa na mapendekezo ya kutaka kurudisha utaratibu wa zamani ili Mawaziri wawe ni wabunge.