Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,870
- 2,122
Chakandumuz kuna anayefaa kuongoza tanesco apewe?Tulichagua viongozi wabovu ,Sasa no reform No election tuwe na viongozi wanaojali Kura za wananchi yaani mtu anazima umeme ,hakuna taarifa hakuna neno ukiuliza unaambiwa nenda burundi