William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Ukilewa utaona tu kibwana shomari Ni sawa Mohamed Huseni. Au kishabiki Dickson job Ni sawa na Onyango au Yanick Bangala anacheza Kama Inonga. Au Aucho Ni Puten kabisa.
Lkn tukumbushane tu. Malengo ya viongozi Yanga msimu huu yameshatimia. Kucheza makundi. Na viongozi hawazungumzii kabisa kwenda robo fainali.
Viongozi Simba ndio wanaowaza kuchukua kombe. Lakini washabiki wa Simba na Yanga wanaweka malengo yanayofanana. Huu Ni utani.
Mechi za ndani Zina Siri kubwa Sana. GSM anataka kufadhili kila timu. Yuko Namungo, Coast Yanga na alitaka afadhili ligi yote.
Kimataifa Yanga tumefikia malengo yetu msimu huu 100% tuwaachie watani wetu nao mtihani wa malengo yao. Hata tukipigwa kila mechi 5 bila sawa tu. hata watani msimu wa awali walichezea hizo goli Sana.
Tutavuruga program za kocha bure kwa kuweka malengo makubwa yasiyowezekana.