Mnaofananisha Simba na Yanga ligi za ndani na kimataifa mnakosea Sana. Hata viongozi wa hizi timu wanalijua Hilo.

Mbona huyo Puten wako mazoezini huwa anajiita Yanick Bangala!
 
Huku kwenye ujinga ujinga wenu endelea tu. Hata ukisema Ajib ni Bora kuliko Kipre Junior Sawa tu. Lakini kwenye masuala ya Kisheria wewe ni Mbumbumbu uliyepevuka kaa kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…