Mnaofanya kazi dodoma mna famliaa dar mnaishjje???

Mnaofanya kazi dodoma mna famliaa dar mnaishjje???

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
BINAFSI HALI SIO NZURI KUNA WATU WANATESEKA SANA NA FAMILIA
M ZIPO NDOA NYINGI SANA ZIKO IC7 SABABU YA DISTANCE

MUNGU TUSAIDIE
 
BINAFSI HALI SIO NZURI KUNA WATU WANATESEKA SANA NA FAMILIA
M ZIPO NDOA NYINGI SANA ZIKO IC7 SABABU YA DISTANCE

MUNGU TUSAIDIE
Ijumaa nakuja dar, jumatatu narud dodoma. Wiki nzuri naua yote dar. Shule ikifungwa wote wanakuja dom.
 
Ukiijua definition ya ndoa, huwezi fanya huo ujinga wa kuishi mikoa tofauti
Simple mind, yaani kuishi mikoa tofauti na mke,mume unaona shida! Unawaza kugongewa!
Nilipokuwa UN, nilifanya kazi, na wa Kenya, mdada yupo Dar, mume watoto wapo Nairobi, likizo anaenda hm, anakaa hata miezi Sita hajarudi hm,! Mkwanja mrefu! Huyu, kavuka boda! Mbongo Bukoba na mwanza anaona mbali! Chalinze morogoro na Dar haiwezekani!
Simple mind, ukiridhika na maisha ya, million in 2,kanyumba, ka ist, lazima uone shida kukaa mbali na mwenza!
Unatafuta 15M kwa mwezi, huwezi, kufanya huo, upuuzi!
 
Back
Top Bottom