Mnaofuatilia soka la Bongo mna moyo mgumu sana. Soka halivutii kabisa

Bengalisis

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
1,847
Reaction score
2,768
Jana nilijichanganya nikachukua lisaa langu na nusu kuangalia mechi kati ya simba sc na Azam fc, aiseeeee nilishuhudia mpira wa hovyo na wa kijinga sana, mpaka sasa najiuliza, timu hizi ukikuta zinaelezewa unakuta zinapewa sifa nyingi sana, mnaofuatilia soka la bongo mna mioyo migimu sana, hamna tofauti na jamii ya wanaume wanaojitosaga kusomesha wachumba
 
Mods peleka hii kitu kulee, halafu chana chana huu Uzi
 
Yan game ya Simba halafu unategemea upate burudani? Uchafu tu. Ndio kuna siku nipo kibanda umiza nachek game ya Chelsea na Liver na siku hiyohiyo kulikua na game ya CHAN Tz na Sudan ghafla naona mdau kabadilisha chanel akaweka game ya CHAN, nilishindwa nikaamua kusepa
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Yan game ya Simba halafu unategemea upate burudani? Uchafu tu. Ndio kuna siku nipo kibanda umiza nachek game ya Chelsea na Liver na siku hiyohiyo kulikua na game ya CHAN Tz na Sudan ghafla naona mdau kabadilisha chanel akaweka game ya CHAN, nilishindwa nikaamua kusepa
 
Tuambie wewe unaangalia mpira wa timu gani inayocheza mpira vizuri kila siku? Mibongo mingine bana kujishaua tu utafikiri umelazimishwa kuangalia.

NB: Mimi sio shabiki wa Mikia ( 5IMBA)
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Yan game ya Simba halafu unategemea upate burudani? Uchafu tu. Ndio kuna siku nipo kibanda umiza nachek game ya Chelsea na Liver na siku hiyohiyo kulikua na game ya CHAN Tz na Sudan ghafla naona mdau kabadilisha chanel akaweka game ya CHAN, nilishindwa nikaamua kusepa
Kuna timu inaitwa yanga...basi iyo ukiiona game yake ndo utatapika kabisa...wanabutua butua mipira kama vitoto vinavyochezaga ndondo mtaani...wanamichezaji mibaunsa inarukaruka tu uwanjani
 
Jana nilijichanganya nikachukua lisaa langu na nusu kuangalia mechi kati ya simba sc na Azam fc, aiseeeee nilishuhudia mpira wa hovyo na wa kijinga sana, mpaka sasa najiuliza, timu hizi ukikuta zinaelezewa unakuta zinapewa sifa nyingi sana, mnaofuatilia soka la bongo mna mioyo migimu sana, hamna tofauti na jamii ya wanaume wanaojitosaga kusomesha wachumba
Mkuu ukipata muda angalia na yanga...yaani hao ndo hamna kitu...ukiwaona wanacheza utafikiri zile timu za ndondo zinazookoteza wachezaji mitaani
 
Tatzo umeshakremu kuwa mpira mzuri upo ulaya wakati huko huko ulaya kuna team wanabutuabutua ili mradi dakika ziende so kuponda nyumbani bhana
 
Uko sahihi mkuu hata mm jana nilikuwa sina kazi ya kufanya tu nikaenda kumsalimia mshikaji anaumwa malaria kufika nakamkuta ameweka mpira ndo nikajikuta nimeangalia
Nilikua sijalipia bado. Walikua wanasubiri game ya CHAN ianze ndio waanze kuchukua hela. Pua hata kama ningekua nimelipia nisingeweza kuangalia ile mechi. Mechi kama hizo unaangalia nyumbani ukiwa huna kazi ya kufanya.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]aiseeeee mna mioyo migumu sana, mm siwezi fuatilia upuuzi huo
Mkuu ukipata muda angalia na yanga...yaani hao ndo hamna kitu...ukiwaona wanacheza utafikiri zile timu za ndondo zinazookoteza wachezaji mitaani
 
Zinacheza daraja la ngapi?
Tatzo umeshakremu kuwa mpira mzuri upo ulaya wakati huko huko ulaya kuna team wanabutuabutua ili mradi dakika ziende so kuponda nyumbani bhana
 
Jana nilijichanganya nikachukua lisaa langu na nusu kuangalia mechi kati ya simba sc na Azam fc, aiseeeee nilishuhudia mpira wa hovyo na wa kijinga sana, mpaka sasa najiuliza, timu hizi ukikuta zinaelezewa unakuta zinapewa sifa nyingi sana, mnaofuatilia soka la bongo mna mioyo migimu sana, hamna tofauti na jamii ya wanaume wanaojitosaga kusomesha wachumba
Asante sana Mungu kwa kunitoa ujinga wa kushabikia soka la magezitini(TZ) badala ya soka la uwanjani(Europe).
 
Back
Top Bottom