Mnaofuatilia soka la Bongo mna moyo mgumu sana. Soka halivutii kabisa

Mnaofuatilia soka la Bongo mna moyo mgumu sana. Soka halivutii kabisa

mkuu hata wao walianzia huku huku, badala ya kudharau mpira wetu ni bora ungepuuzia tu then uendelee na mpira wako wa ulaya na marekani mkuu

Yaani namaanisha, tuachie mpura wetu mkuu.
 
mkuu hata wao walianzia huku huku, badala ya kudharau mpira wetu ni bora ungepuuzia tu then uendelee na mpira wako wa ulaya na marekani mkuu

Yaani namaanisha, tuachie mpura wetu mkuu.
Makosa kama haya ya kiuandishi yanatokana na ww kutokuwa makini wkt unaandika na hii ni kwasababu unapenda kuangalia mpira wenye makosa mengi uwanjani

Mpura=Mpira
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Makosa kama haya ya kiuandishi yanatokana na ww kutokuwa makini wkt unaandika na hii ni kwasababu unapenda kuangalia mpira wenye makosa mengi uwanjani

Mpura=Mpira
Mkuu unataka kuniambia ukizoea kufuatilia vibovu na ww unakuwa mbovu?
 
Usifananishe FRIENDS RANGERS ya HERI MZOZO na vitu vya kimama km CHELSEA!

BTW Heri Mzozo ile FRIENDS RANGERS ni mali yake ama?
Sasa chelsea si ni bora niangalie game za ndondo za Mabibo Market na Friends Rangers.....
 
Yan game ya Simba halafu unategemea upate burudani? Uchafu tu. Ndio kuna siku nipo kibanda umiza nachek game ya Chelsea na Liver na siku hiyohiyo kulikua na game ya CHAN Tz na Sudan ghafla naona mdau kabadilisha chanel akaweka game ya CHAN, nilishindwa nikaamua kusepa
Ukatizame tv yako
 
Jana nilijichanganya nikachukua lisaa langu na nusu kuangalia mechi kati ya simba sc na Azam fc, aiseeeee nilishuhudia mpira wa hovyo na wa kijinga sana, mpaka sasa najiuliza, timu hizi ukikuta zinaelezewa unakuta zinapewa sifa nyingi sana, mnaofuatilia soka la bongo mna mioyo migimu sana, hamna tofauti na jamii ya wanaume wanaojitosaga kusomesha wachumba

Wengi wanaopenda soka la bongo wa u-jimaujima fulan hv, we chunguza tu
 
Mpira wa timu za kibongo wachezaji wake huwa wananiacha hoi hasa pale wanapopewa pass ile tuliza yao tu utaona kabisa kuwa wamebaka fani isiyo yao yaani wanatuliza mpira utadhani wanatoa pass yaani kama wanavigugumizi miguuni.
 
Back
Top Bottom