Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,847
- 2,768
- Thread starter
- #61
Akili za failure hizi, hamkosagi visingizio
Mpira sio fani yako broo, umevamia! Mtu wa mpira hata ukikuta watoto wadogo mtaani wanacheza mpira waweza poteza dakika kuwaangia!