Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,847
- 2,768
Jana nilijichanganya nikachukua lisaa langu na nusu kuangalia mechi kati ya simba sc na Azam fc, aiseeeee nilishuhudia mpira wa hovyo na wa kijinga sana, mpaka sasa najiuliza, timu hizi ukikuta zinaelezewa unakuta zinapewa sifa nyingi sana, mnaofuatilia soka la bongo mna mioyo migimu sana, hamna tofauti na jamii ya wanaume wanaojitosaga kusomesha wachumba