Sasa chelsea si ni bora niangalie game za ndondo za Mabibo Market na Friends Rangers.....Yan game ya Simba halafu unategemea upate burudani? Uchafu tu. Ndio kuna siku nipo kibanda umiza nachek game ya Chelsea na Liver na siku hiyohiyo kulikua na game ya CHAN Tz na Sudan ghafla naona mdau kabadilisha chanel akaweka game ya CHAN, nilishindwa nikaamua kusepa
Ndanda ipo Iraq?bora Ndanda fc kuliko Soka La Bongo fc
Sasa mwenye banda anafata mechi yenye wadau wengi apige pesa,wewe hiyo chelsea yako hata watu wa kuangalia hamnaNilikua sijalipia bado. Walikua wanasubiri game ya CHAN ianze ndio waanze kuchukua hela. Pua hata kama ningekua nimelipia nisingeweza kuangalia ile mechi. Mechi kama hizo unaangalia nyumbani ukiwa huna kazi ya kufanya.
Yaani huwa nawashangaa sana utakuta watu wanabishana kundi mpaka kutaka kuzichapa !Jana nilijichanganya nikachukua lisaa langu na nusu kuangalia mechi kati ya simba sc na Azam fc, aiseeeee nilishuhudia mpira wa hovyo na wa kijinga sana, mpaka sasa najiuliza, timu hizi ukikuta zinaelezewa unakuta zinapewa sifa nyingi sana, mnaofuatilia soka la bongo mna mioyo migimu sana, hamna tofauti na jamii ya wanaume wanaojitosaga kusomesha wachumba
Real Madrid na Manchester utd , ni bora nishabikie SimbaYaani huwa nawashangaa sana utakuta watu wanabishana kundi mpaka kutaka kuzichapa !
Hii ni kudhihirisha kua watu wengi nchini wamedumaa kiakili ...hawawezi fanya reasoning...ni sawa na wale washabiku wa chama kikuu inashangaza sana....
Utawasikia...kagere kagere,busungu cjui yaani wanashabikia viwango duni vya soka
We jamaa ulijuaje kunisemea moyo wng aysee soka la bongo na Africa kwa ujumla ni michosho snJana nilijichanganya nikachukua lisaa langu na nusu kuangalia mechi kati ya simba sc na Azam fc, aiseeeee nilishuhudia mpira wa hovyo na wa kijinga sana, mpaka sasa najiuliza, timu hizi ukikuta zinaelezewa unakuta zinapewa sifa nyingi sana, mnaofuatilia soka la bongo mna mioyo migimu sana, hamna tofauti na jamii ya wanaume wanaojitosaga kusomesha wachumba
[emoji23][emoji23][emoji23] inashangaza sana kwakwel mm yanga damu ila kutokana na soka bovu la bongo hata wachezaji wa timu yng cwajuiYaani huwa nawashangaa sana utakuta watu wanabishana kundi mpaka kutaka kuzichapa !
Hii ni kudhihirisha kua watu wengi nchini wamedumaa kiakili ...hawawezi fanya reasoning...ni sawa na wale washabiku wa chama kikuu inashangaza sana....
Utawasikia...kagere kagere,busungu cjui yaani wanashabikia viwango duni vya soka
Kuna baadhi ya nchi za kiafrika zimeshapata njia ya jinsi gani mpira standard unavyocheza mapungufu yanakuwepo kidogo...sio sie east africa hasa TzWe jamaa ulijuaje kunisemea moyo wng aysee soka la bongo na Africa kwa ujumla ni michosho sn
Mitumwa haikuisha yote afrika. Bado kuna mipumbavuh inatamani iwe mitumwa.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa chelsea si ni bora niangalie game za ndondo za Mabibo Market na Friends Rangers.....
Sasa mwenye banda anafata mechi yenye wadau wengi apige pesa,wewe hiyo chelsea yako hata watu wa kuangalia hamna
Yaani huwa nawashangaa sana utakuta watu wanabishana kundi mpaka kutaka kuzichapa !
Hii ni kudhihirisha kua watu wengi nchini wamedumaa kiakili ...hawawezi fanya reasoning...ni sawa na wale washabiku wa chama kikuu inashangaza sana....
Utawasikia...kagere kagere,busungu cjui yaani wanashabikia viwango duni vya soka
Real Madrid na Manchester utd , ni bora nishabikie Simba
We jamaa ulijuaje kunisemea moyo wng aysee soka la bongo na Africa kwa ujumla ni michosho sn
[emoji23][emoji23][emoji23] inashangaza sana kwakwel mm yanga damu ila kutokana na soka bovu la bongo hata wachezaji wa timu yng cwajui
kuna ukweli hapa, halafu kuna watu wanatoa uchambuzi oooh mchezaji gani mzuri, wakati ukiangalia wachezaj wote hovyo tu.
kuna ukweli hapa, halafu kuna watu wanatoa uchambuzi oooh mchezaji gani mzuri, wakati ukiangalia wachezaj wote hovyo tu.