DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
Sasa chelsea si ni bora niangalie game za ndondo za Mabibo Market na Friends Rangers.....Yan game ya Simba halafu unategemea upate burudani? Uchafu tu. Ndio kuna siku nipo kibanda umiza nachek game ya Chelsea na Liver na siku hiyohiyo kulikua na game ya CHAN Tz na Sudan ghafla naona mdau kabadilisha chanel akaweka game ya CHAN, nilishindwa nikaamua kusepa